JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

Msichana wa kazi, mganga wa kienyeji waiba watoto wawili Dar

Na Isri Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, limefanikiwa kuwapata watoto wawili Husna Gulam (3) na Mahdi Mohamed (4) walioibiwa na dada wa kazi kwa kushirikiana na mganga wa kienyeji nyumbani kwao…

Korti ya Kijeshi Uganda kumshtaki Besigye kwa usaliti

KIZZA Besigye, mwanasiasa mkongwe wa upinzani na hasimu wa muda mrefu wa Rais Yoweri Museveni, alitekwa nyara akiwa jijini Nairobi Novemba 2024 na kurejeshwa Uganda alikofunguliwa mashtaka katika mahakama ya kijeshi. Kiongozi mashuhuri wa upinzani nchini Uganda, Kizza Besigye, atafikishwa…

Rais wa Korea Kusini Yoon Suk Yeol aliyefutwa kazi akamatwa

RAIS wa Korea Kusini aliyeachishwa kazi Yoon Suk Yeol amekamatwa, kulingana na mamlaka, na kuweka kihistoria nchini humo. Yoon ambaye anachunguzwa kwa uasi ndiye rais wa kwanza aliye madarakani nchini humo kukamatwa. Baadhi ya wachunguzi waliingia katika makazi ya Yoon…

Tanzania, Japan zajidhatiti kusaidia wakulima nchini

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Japan zimetia saini mkataba wa shilingi bilioni 377 kugharamia utelelezaji wa mradi wa Kilimo na Maendeleo Vijijini (Agriculture and Rural Development Two Step Loan) ambao umekusudiwa kuwanufaisha moja kwa moja wakulima kupitia mikopo midogo midogo.   Mkataba…

Dk Kazungu ateta na balozi wa Tanzania Abu Dhabi

📌 Anadi miradi ya nishati kuvutia wawekezaji kutoka Abu Dhabi 📌 Ashiriki hafla ya ufunguzi wa Wiki ya uendelezaji Nishati Abu Dhabi na utoaji tuzo za umahiri 📌 Balozi wa Tanzania Abu Dhabi awataka watanzania kuchangamkia fursa za ajira Abu…