Category: MCHANGANYIKO
Mtoto wa miaka 10 ajinyonga juu ya mti
Na Isri Mohamed Jeshi la polisi Mkoa wa Tabora limethibitisha kifo cha mtoto Ramadhan Sabai (10) kilichotokea kwa kujinyonga juu ya mti wa mwembe. Mtoto huyo ambaye ni mwanafunzi wa darasa la pili katika Shule ya Msingi Igunga iliyopo kata…
Dkt.Mpango : Vitendo vya rushwa bado ni tatizo nchini
Na Zulfa Mfinanga, JamhuriMedia, Arusha Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango amesema wananchi bado wana malalamiko mengi juu ya vitendo vya rushwa na kunyimwa haki kufuatia ripoti za Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) na ya Mamlaka ya…
Tuwainue wabunifu wazawa kuwanadi kimataifa – Dk Biteko
📌 Asisitiza Mifumo iboreshwe kuakisi Maendeleo 📌 Serikali kuweka Mazingira wezeshi kwa wadau wa STARTUPs Na Ofisi ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amesema kuwa pamoja na jitihada…
Dk Kiruswa ataka watumishi madini kutambua dhamana waliyopewa
Asisitiza umuhimu wa kufanya mazoezi, kuzingatia ulaji wenye afya Mhandisi Samamba aahidi kufanyia kazi ushauri, maoni, mapendekezo ya Watumishi Mkurugenzi Mstaafu Nchasi atoa neno umuhimu wa kujipanga mapema kustaafu Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Naibu Waziri wa Madini, Dkt. Steven…
Uboreshaji wa Daftari Mikoa ya Irunga, Mbeya kuanza Desemba 27 mwaka huu
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi imesema uwepo wa mawakala kwenye vituo vya kuandikisha wapiga kura ni kielelezo cha uwazi kwenye zoezi la uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura. Akizungumza wakati wa kufungua mafunzo ya watendaji wa uboreshaji…