Category: MCHANGANYIKO
Wataalam wa ununuzi na ugavi chukieni rushwa, fanyeni kazi kwa uwazi – Dk Biteko
📌 Atahadharisha vitendo vya rushwa kwenye Manunuzi 📌 Dkt. Biteko afungua Kongamano la 15 la Wataalam wa Ununuzi na Ugavi 📌 Ataka wasikilize sauti za watu, kutathimini utendaji kitaaluma Na Ofisi ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Naibu…
Baba harusi Vicent Massawe akutwa kwa mganga wa kienyeji baada ya kuuza gari alilokodi
Na Magrethy Katengu, JamhuriMedia,Dar es Salaam Vicent Peter Masawe a.k.a baba harusi mkazi wa Kigamboni Dar es Salaam anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za wizi wa gari aliloazimwa wakati wa harusi yake huku akijipatia fedha kwa njia ya…
Rais Mstaafu Dk Kikwete ahudhuria mkutano wa Taasisi ya ubia wa wadau wa maji Kusini mwa Afrika
Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne, Dkt. Jakaya Kikwete, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Taasisi ya Ubia wa Wadau wa Maji Kusini mwa Afrika (Global Water Partnership (Southern Africa & GWP Africa Coordination Unit), alishiriki Mkutano wa Bodi wa Taasisi…
RITA yamaliza mgogoro wa msikiti wa Ijumaa Mwanza
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Mwanza Wakala wa Usajili, Ufilisi na Udhani nchini (RITA), umeitaka Bodi mpya ya Wadhamini wa Msikiti wa Ijumaa jijini Mwanza, kujiepusha na ubadhirifu wa mali za msikiti sambamba na kuimarisha mshikamano wa waumini, pamoja na kutolipiza…
Lissu achukua fomu kugombea uenyekiti CHADEMA
Na Isri Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam Makamu mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu leo Desemba 17, 2024 amechukua fomu ya kugombea uenyekiti wa chama hicho, katika ofisi za makao makuu ya chama hicho zilizopo Mikocheni jijini Dar es Salaam. Baada…
Watuhumiwa 126 wa ukabakaji, ulawiti na usafirishaji dawa ya kulevya wakamatwa
Na Abel Paul, Jeshi la Polisi, Arusha Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha limesema hali ya Ulinzi na usalama kwa kipindi cha kuanzia mwezi Octoba, 2024 hadi sasa ni shwari huku likibaiinisha kuwa limefanikiwa kuwakamata watuhumiwa wa ubakaji na usafirishaji…