Category: MCHANGANYIKO
Ongezeko la mapato Namanga lamkosha Dk Biteko
Ailekeza TANESCO kufunga Kituo cha Kupoza Umeme Longido
Maelekezo ya Serikali yatekelezwa Longido
Amuagiza Makonda kusimamia ufungaji vifaa vya maabara Sekondari ya Longido Samia Na Ofisi ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa…
Tanzania, Canada kushirikiana kuendeleza sekta ya madini nchini
Balozi wa Canada apongeza mageuzi makubwa ya sekta ya madini
Wachimbaji wadogo kujengewa uwezo wa uchimbaji madini kwa teknolojia ya kisasa
Mafunzo maalum ya uongezaji thamani kuendeshwa kupitia VETA
Waziri Mavunde asisitiza ushirikiano katika utafiti wa kina wa Madini Na…
EWURA yazitaka kampuni za gesi kuongeza mawakala, kudhibiti uchakachuaji wa gesi
Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam MAMLAKA ya Udhibiti wa Huduma za nishati na Maji (EWURA) imezitaka Kampuni za gesi kuongeza idadi ya mawakala wa usambazaji kwenye maeneo mengi ili kuepusha watu kwenda kununua gesi kwa wauzaji wasio rasmi….
Aliyedai kupewa kazi ya kumuua Mpina kortini
Na Mwandishi Wetu, Simiyu Jeshi la Polisi Mkoa wa Simiyu limemfikisha mahakamani binti aliyejitambulisha kwa jina la Pendo Paul Elikana (19) akidaiwa kutoa taarifa za uongo na kuzisambaza katika mitandao ya kijamii. Taarifa iliyotolewa kwa waandishi wa habari na Kamanda…
Vipaumbele vitano Ofisi ya Msajili wa Hazina 2025/26
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Serikali imewasilisha mbele ya Bunge vipaumbele vitano vya Ofisi ya Msajili wa Hazina (OMH) kwa mwaka wa fedha 2025/26 vinavyolenga kuongeza ufanisi wa taasisi za umma, usimamizi wa rasilimali za umma na kukuza mapato yasiyo…
Viwanda zaidi ya 4000 kushiriki maonyesho ya EXPO 2025
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam SHIRIKISHO la Wenye Viwanda Tanzania (CTI), kwa kushirikiana na Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TANTRADE), limezundua Maonesho ya Kimataifa ya Wazalishaji yajulikanayo kama TIMEXPO 2025 Maonyesho hayo yatafanyika kuanzia tarehe 19 hadi…