JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Matangazo

Simba wembe ule ule, yailaza Ken Gold 2 -0

Timu ya Simba SC imefanikiwa kuibuka na ushindi wa 2 – 0 dhidi ya Ken Gold katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara uliochezwa leo Desemba 18, 2024 katika Uwanja wa KMC Complex uliopo Mwenge, Dar es Salaam.

Majaliwa: Fuateni na simamieni falsafa ya Rais Samia

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka washiriki wa kozi fupi ya 13 ya viongozi watambue, wafuate na waisimamie falsafa ya Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan iliyojielekeza katika kuwahudumia watanzania. Mheshimiwa Majaliwa amesema lengo kuu…

MECHI YA SIMBA VS AZAM NI KAMA FAINALI

Timu za Simba na Azam leo zitakumbushia fainali ya Kombe la Mapinduzi ya mwaka 2017, wakati itakapo kutana katika hatua ya makundi Azam FC na Simba zote za Dar es Salaam kesho zinatarajia kuchuana katika mchezo wa hatua ya makundi…