JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Magazetini

Maajabu ya mji uliozama baharini kisiwani Mafia

DAR ES SALAAM NA JUMA SALUM Awali ya yote naomba nikuhakikishie ndugu msomaji kuwa hii si hadithi ya kusadikika au tuseme ni stori ya kutunga, hii ni habari ya kweli ambayo haikujulikana kwa miaka mingi na kwa watu wengi. Kutojulikana…

Asili ya vyama vya siasa

Hapa nchini Tanzania nadhani hata huko ughaibuni kwenye nchi zinazojulikana kama za ulimwengu wa kwanza, wananchi wanazungumzia uwepo wa vyama vya siasa na demokrasia. Vyama vyenyewe kwa asili yake vilianza wapi na vilianza namna gani katika nchi zile, haijaelezwa wazi….

Ndugu Rais kwa unyama huu toa kauli

Ndugu Rais, unyama unaofanywa na baadhi ya polisi katika nchi yetu unazidi kuongezeka kila uchao. Leo tunashuhudia unyama huu ukifanywa na polisi hawa au yule, kesho tunashuhudia unyama mkubwa zaidi. Habari sasa ni polisi na unyama na unyama na polisi….

Kiswahili ni lugha yetu, vipi tunakibananga?

Na Angalieni Mpendu Historia inatueleza kuwa Kiswahili ni lugha kongwe miongoni mwa lugha mama nyingi zilizopo hapa nchini. Ni lugha adhimu, nadhifu na ni titi lisilokwisha hamu. Lakini baadhi ya Watanzania wanakibananga katika utumizi wake. Iwe katika msingi wa ujeuri,…

Kutotoa matunzo ya mtoto kifungo ni miezi sita

Na Bashir Yakub Wako watu bado wanalichukulia suala la kutoa mahitaji kwa mtoto kama suala la madai ya kawaida. Wanadhani ni suala ambalo linamhusu mama mzazi na ba basi, wao kama wao tu. Kwa maana ni suala la kuzungumza tu…

Uongozi Bora

(d) Uongozi Bora TANU inatambua umuhimu wa kuwa na Uongozi Bora. Tatizo lililopo ni ukosefu wa mipango maalum ya kuwafundisha Viongozi, na kwa hiyo Ofisi Kuu ya TANU ni budi itengeneze utaratibu maalum kuhusu mafundisho ya Viongozi tangu wa Taifa…