Category: Magazetini
MAFANIKIO YOYOTE YANA SABABU (35)
Na Padri Dk. Faustin Kamugisha Watu wanaokuzunguka ni sababu ya mafanikio. “Unakuwa na kama watu watano ambao unatumia muda mwingi ukiwa nao. Wachague kwa uangalifu, ” alisema Jim Rohn. Mtazamo chanya unaambukiza. Mafanikio yanaambukiza. Mark Ambrose alisema: “Nionyeshe rafiki zako…
Sasa Trump hataki maziwa ya mama
Katika enzi hizi,miongoni mwa viongozi wanaoendela kushangaza dunia kwa uamuzi na matamshi yake ni pamoja na Rais Donald Trump wa Marekani. Na siyo kwa masuala hasi pekee. Trump amekuwa rais wa kwanza wa Marekani kukaa meza moja ya majadiliano na…
IGP anzisha kampeni ajali za barabarani
Mhariri salamu, Nimeamua kuandika barua hii kwako Inspekta Jenerali wa Polisi wa Tanzania (IGP) ikufikie kupitia Gazeti la JAMHURI, nikiwa raia wa Tanzania na mdau wa usalama barabarani, nimeona nitoe mchango wangu wa mawazo katika kupambana na ajali za barabarani….
Kocha Taifa Stars apewe muda
NA MICHAEL SARUNGI Kutopitia mafunzo ya soka kutoka vyuo vya kufundishia soka na Watanzania kukosa uvumilivu kunaweza kuwa sababu ya kumkwamisha Kocha wa sasa wa Taifa Stars, Mnigeria Emmanuel Amunike. Wakizungumza na Gazeti la JAMHURI kwa nyakati tofauti baada ya…
Utaratibu mpya wa kusajili kampuni
Na Bashir Yakub Tangu Aprili mwaka huu 2018, utaratibu wa kusajili kampuni umebadilika. Ni tofauti kabisa na ambavyo tulizoea. Hata hivyo, yapo mambo ambayo yamebaki vilevile kama awali, kadhalika yapo mengi pia yaliyobadilika. Tutapitia utaratibu wa awali kidogo na huu…
Yah: Nadhani tumezidi unafiki
Mara nyingi nimekuwa nikishuhudia sifa nyingi sana za mtu pale ambapo ndiyo kwanza tumemaliza kutupia chepe la mwisho la mchanga katika kaburi lake. Huwa inakuwa hotuba nzuri ya kutia simanzi juu ya uwepo wake alipokuwa hai na jinsi ambavyo nafasi…