Category: Magazetini
MAFANIKIO YOYOTE YANA SABABU (38)
Na Pd. Dk. Faustin Kamugisha Mtandao chanya wa watu ni sababu ya mafanikio. Huwezi kupiga makofi kwa mkono mmoja. “Ukitaka kwenda kwa haraka sana, nenda peke yako. Ukitaka kwenda mbali, nenda pamoja na wengine.” (Methali ya Kiafrika). Hawa wanaotajwa kama…
Ujenzi wa barabara waathiri makazi Temeke
NA ALEX KAZENGA DAR ES SALAAM Wananchi wa Kata ya Makangarawe, Manispaa ya Temeke jijini Dar es Salaam wameulalamikia ujenzi wa barabara za mitaa unaofanywa kwa kiwango cha lami katika mitaa hiyo wakidai kuharibu makazi yao. Ujenzi huo umeanza kutekelezwa…
Polisi yanasa bunduki 180, uhalifu wapungua
KHALIF MWENYEHERI NA CATHERINE LUCAS, TUDARCO Jeshi la Polisi nchini limekamata silaha 187 katika kipindi cha Juni mwaka jana hadi Septemba mwaka huu, huku vitendo vya mauaji vikipungua kutoka 1,538 na kufikia 1,311 mwaka huu. Kwa mujibu wa taarifa…
Maajabu ya viboko kisiwani Mafia
DAR ES SALAAM NA JUMA SALUM Kijiografia, Mafia ni kisiwa kilichoko Bahari ya Hindi, kilometa 120 kusini – mashariki mwa Jiji la Dar es Salaam na kilometa 20 mwambao wa pwani ya Wilaya ya Rufiji. Katika hali ya kushangaza, eneo…
Mkurugenzi UCC ahusishwa kashfa nzito
Na Alex Kazenga Dar es Salaam Wafanyakazi zaidi ya 30 wa Kituo cha Mafunzo ya Kompyuta (UCC), Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) wamo hatarini kupoteza kazi baada ya kituo hicho na matawi yake yote nchini kutakiwa kufungwa kwa…
Korosho bado ni ‘umiza kichwa’! (1)
Nilifurahi mno Jumatano ya Septemba 5, mwaka huu nipoona katika runinga Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Gilasius Byakanwa, akiwa katika Kiwanda cha Korosho Tandahimba akitoa uamuzi wa serikali (kwa barua rasmi) kwa mwekezaji wa kiwanda kile kununua korosho kwa kufuata…