JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Magazetini

MV Nyerere imeamsha uchungu

MV Nyerere imeamsha uchungu Na Deodatus Balile Ajali ya MV Nyerere iliyotokea Septemba 20, 2018 katika Ziwa Victoria imeamsha uchungu wa wakazi wa Kanda ya Ziwa. Imenikumbusha siku ya Jumanne ya Mei 21, mwaka 1996 ilipozama meli ya MV Bukoba…

Serikali ‘isiwaue’ wafanyabiashara Kariakoo

NA MWANDISHI WETU DAR ES SALAM Wiki iliyopita kimefanyika kikao baina ya jumuiya ya wafanyabiashara wa Soko la Kariakoo na mawaziri watatu; Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwezeshaji, Charles Mwijage; Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Philip Mpango na Waziri…

Dar yaongoza ajali, Tabora mauaji – LHRC

DAR ES SALAAM NA CATHERINE LUCAS Ofisa Mipango Msaidizi, Masoko na Haki za Binadamu wa Kituo cha Haki za Binadamu na Msaada wa Kisheria (LHRC), Tito Magoti, amesema Jiji la Dar es Salaam linaongoza kwa matukio ya ajali za barabarani….

Muhimbili wanatekeleza kwa vitendo agizo la JPM

NA ANGELA KIWIA Hospitali ya Taifa Muhimbili imetekeleza kwa vitendo agizo la Rais Dk. John Magufuli la kubuni mkakati wa kupunguza idadi ya wagonjwa wanaotibiwa nje ya nchi. JAMHURI limefanya mahojiano maalumu na Ofisa Habari wa Hospitali ya Taifa Muhimbili,…

Hatari mpya

*Wataalamu waonya usafiri Ziwa Victoria si salama *Wahoji nchi ilivyojiandaa kukabili majanga mapya *Wengi wakumbuka yaliyotokea kwa MV Bukoba *Waziri Mkuu aeleza ya moyoni, kivuko kuvutwa Na Mwandishi Wetu, Ukara Wahandisi na wataalamu wa majanga wamesema Tanzania inakabiliwa na hatari…