JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Magazetini

‘Mwizi’ wa magari Moshi apelekwa Kenya

Na Charles Ndagulla, Moshi Mfanyabiashara Bosco Kyara na mwenzake Gabriel Mombuli, wanaotuhumiwa kujihusisha na mtandao wa wizi wa magari katika nchi za Kenya na Tanzania wamesafirishwa kwenda nchini Kenya kujibu mashtaka ya wizi wa gari. Kyara ni mkazi wa Makuyuni…

Hukumu kesi ya MV Bukoba na mafunzo kwetu leo tunapoombolez

Na Bashir Yakub (A) NAMBA YA KESI Kesi ya Jinai Na. 22/1998, Mahakama Kuu Mwanza, mbele ya Jaji (B) WASHTAKIWA 1. Kapteni Jumanne Rume Mwiru. Huyu ndiye alikuwa akiendesha kutoka Bukoba kupitia Kemondo Bay hadi Mwanza. 2. Gilbert Mokiwa. Huyu…

Hati za makazi ‘kasheshe’ Temeke

Na Alex Kazenga, Dar es Salaam Maofisa Ardhi wa Manispaa ya Temeke jijini Dar es Salaam wanatuhumiwa na wananchi wa Kata ya Yombo – Makangarawe kwa kuendesha zoezi la utoaji wa hati za viwanja kwa njia za rushwa. Tuhuma hizo…

Wizi wa kutisha

Mtandao wa utapeli unaowahusisha wafanyabiashara na watendaji wakuu wa baadhi ya taasisi za serikali umebainika kuwapo kwenye biashara ya usafirishaji wa magari nje ya nchi (IT). Uchunguzi uliofanywa na JAMHURI kwa miezi mitatu umebaini mtandao huo unaowahusisha baadhi ya watendaji…

Waandishi wa habari washinda kesi

MWANZA NA MWANDISHI WETU   Mahakama ya Mkoa wa Mwanza imetupilia mbali kesi dhidi ya waandishi wa habari, Christopher Gamaina (Gazeti la Raia Mwema) na George Ramadhani (kujitegemea) waliotuhumiwa kujifanya maofisa wa Taasisi ya Utafiti wa Viuatilifu katika Nchi za…

Asante Mahakama Mkoa wa Mwanza

Miongoni mwa habari tulizozipa kipaumbele kwenye toleo hili ni ile inayohusu uamuzi wa Mahakama ya Mkoa wa Mwanza kutupilia mbali kesi dhidi ya waandishi wa habari wawili waliobambikiwa kesi. Waandishi hao walishitakiwa kwa kile kinachodaiwa kwamba walijifanya ni maofisa wa…