Category: Magazetini
Uamuzi wa Canada dhidi ya Kyi ni sahihi
Kama hujamsikia Aung San Suu Kyi, fungua macho upate somo la unafiki mkubwa unaotawala ulimwengu wetu enzi hizi. Su Kyi ni kiongozi wa Myanmar mwenye wadhifa unaofanana na wa waziri mkuu ambaye ni maarufu kama mwanaharakati aliyepinga utawala wa kijeshi…
Korosho bado ni ‘umiza kichwa’! (3)
Wakati wakulima wa korosho wanaanza kufaidi – (kwa Kimwela ‘kupoka’) neema za korosho, mara mwaka ule wa 1973 serikali ikavunja ile bodi ya mazao, lakini ikaunda mamlaka maalumu kwa zao letu la korosho. Mamlaka hiyo ilijulikana kama CATA (Cashew Authority…
TFF inazibeba Simba, Yanga
Mfumo wa sasa wa ufadhili wa ligi hauna tija kwa taifa, kwani tunaendelea kuzifadhili Simba na Yanga ambazo kitaifa hazina uwezo, wameshuka kisoka ndiyo maana hawashindi. Turudishe mfumo wa Sunlight au Taifa Cup kupata wachezaji wazalendo kutoka vijijini na wilayani….
Wanafunzi 12 watiwa mimba
MWANZA NA MWANDISHI WETU Wanafunzi 12 wa Shule ya Sekondari ya Igokelo, Misungwi, mkoani Mwanza wametiwa mimba ndani ya kipindi cha miezi minane ya mwaka huu. Wanafunzi hao ambao wako chini ya miaka 18 wameacha masomo. Pamoja nao, wanafunzi wengine…
Nukuu: Tusivunje mlango
Nyerere: Tusivunje mlango “Ikiwa mlango umefungwa, basi yafanywe majaribio ya kuufungua; umeegeshwa, (basi) usukumwe hadi ufunguke. Katika hali yoyote, gharama ya waliyomo ndani.” Haya ni maneno ya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere aliyoyatoa Toronto, Canada, Oktoba 2, mwaka 1969. Obama: Bajeti…
Jamani, walimu wanateseka!
Mwaka jana niliwaalika baadhi ya walimu wangu wapendwa walionifundisha shule ya msingi. Miongoni mwao alikuwamo aliyenifundisha darasa la kwanza. Sina maneno mazuri ya kueleza furaha niliyokuwa nayo, na zaidi ya yote, waliyokuwa nayo walimu wangu. Pamoja nao, niliwaita baadhi ya…