Category: Magazetini
Maboresho ya kanuni yatachochea ukuaji wa sekta ya mawasiliano
DAR ES SALAAM Na Mwandishi Wetu Katika kuboresha mazingira ya utoaji huduma za mawasiliano nchini, Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari imetangaza maboresho ya Kanuni za Miundombinu ya Utangazaji Dijiti na Kanuni za Leseni zinazosimamiwa na Mamlaka ya…
Yaliyojiri mkutano wa EU, AU Ubelgiji
Na Nizar K Visram Wakuu wa nchi za Umoja wa Ulaya (EU) na Umoja wa Afrika (AU) walikutana mjini Brussels, Ubelgiji, Februari 17 na 18, mwaka huu. Viongozi 40 wa nchi na serikali za Afrika na viongozi 27 wa Ulaya…
Ufaulu Hisabati bado ni tatizo
DAR ES SALAAM Na Mwalimu Samson Sombi Mchakato wa utekelezaji wa sera ya Tanzania ya viwanda unapaswa kuanzia shuleni na vyuoni kwa kuwaandaa wahitimu katika ngazi mbalimbali za elimu. Ni lazima kutekeleza sera hiyo kwa vitendo baada ya mafunzo na…
Mkakati wa siri Freemasons kuitawala dunia – (4)
DAR ES SALAAM Na Mwalimu Paulo Mapunda Hapo zamani Mungu alikwisha kufunua kupitia ndoto ya Nebukadreza, Mfalme wa Babeli (The King of the Ancient Mesopotamia) iliyotafsiriwa na Daniel, Nabii (Daniel 2:44, 45) kwamba utawala wa Mungu ndio utakaosimama mwisho baada…
Utata zaidi vijana watano kupotea
*Sasa imetimia siku 58 tangu watoweke *Wazazi wakanusha watoto wao kuuza dawa za kulevya *Polisi yasema inaendelea na uchunguzi DAR ES SALAAM Na Dennis Luambano Tukio la vijana watano kutoweka na kutojulikana walipo hadi sasa unaweza kusema ni kama maigizo…
Mjadala matumizi ya ‘cable cars’ kufanyika mwezi ujao
DAR ES SALAAM Na Mwandishi Wetu Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk. Damas Ndumbaro, amesema wanatarajia kufanya mjadala wa matumizi ya magari ya umeme yanayopita kwenye nyaya (cable cars) kwa ajili ya kuwapandisha watalii katika Mlima Kilimanjaro. Kauli ya Ndumbaro…