Category: Magazetini
Rais Samia choma kichaka nyoka wakimbie
Na Deodatus Balile Wiki mbili zilizopita niliandika makala nikipongeza hatua anazozichukua Rais Samia Suluhu Hassan. Nimeeleza kukubaliana naye katika dhana ya kuchimba madini au mafuta hata kama yapo kwa maana kwamba hizi rasilimali zipo kwa ajili ya kusaidia kulikomboa taifa…
BoT yawaondoa hofu wananchi
DAR ES SALAAM Na Costantine Muganyizi Licha ya kuwapo changamoto hasa za kibiashara zinazotokana na athari za janga la virusi vya corona duniani, mwenendo wa uchumi wa taifa unaridhisha na kuleta matumaini ya kuzidi kuimarika kuanzia mwaka huu. Hiyo ni…
TASAF yajipanga kuongeza umakini
KATAVI Na Walter Mguluchuma Mfuko wa Maendeleo na Hifadhi ya Jamii (TASAF) umeandaa mkakati makini katika kuwabaini wanufaika halali wa mfuko huo. Akizungumza wakati wa kikao kazi cha kuwajengea uelewa wawezeshaji na madiwani wa Halmashauri ya Mpimbwe, mkoani Katavi, Ofisa…
Oxfarm: Kilimo kitaondoa umaskini
DAR ES SALAAM Na Pawa Lufunga Shirika la Oxfarm Tanzania limewaasa wadau wa maendeleo nchini kuweka kipaumbele katika sekta ya kilimo ili kutokomeza umaskini. Akizungumza katika warsha ya wiki mbili iliyowakutanisha wadau wa kilimo nchini, Ofisa Ushawishi wa shirika hilo,…
Serikali chombo cha mamlaka tukiheshimu
Ipo dhana kwa baadhi ya watu hapa nchini kwamba Serikali ni Kiongozi Mkuu wa Nchi, kwa maana ni Rais. Ni dhana ambayo mara kadhaa imezusha malumbano ya kisiasa na kijamii kwa fikra kwamba Rais ni mtu. Iko haja tena ya…
Maisha ni mtazamo
Mafanikio yanategemea mtazamo. Kushinda kunategemea mtazamo. Furaha inategemea mtazamo. Shukrani inategemea mtazamo. Umaskini unategemea mtazamo. Utajiri unategemea mtazamo. Amani inategemea mtazamo. “Mtazamo ni jambo dogo lakini linafanya tofauti kubwa,” alisema Winston Churchill. Kinachowatofautisha wavumilivu na waliokata tamaa ni jambo dogo…