JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Magazetini

Ujerumani kuilipa Namibia fidia

WINDHOEK, NAMIBIA Zaidi ya miaka 100 baada ya serikali yake ya kikoloni kufanya matendo ya kikatili kwa wakazi wa Namibia, Ujerumani imetambua makosa hayo kama mauaji ya kimbari. Ukatili huo ulifanywa dhidi ya watu wa jamii za Herero na Nama,…

Aeleza sababu ya Jua Kali kuvutia wengi

DAR ES SALAAM Na Mwandishi Wetu Msanii, mtunzi na mwongoza filamu, Leah Mwendamseke, maarufu kama Lamata, amesema uhalisia uliomo ndani ya tamthilia yake ya ‘Jua Kali’ ndiyo sababu ya kugusa mioyo ya watazamaji wengi. Akizungumza jijini Dar es Salaam, Lamata…

Dayna amnasa Davido

DAR ES SALAAM  Na Regina Goyayi Msanii wa muziki wa kizazi kipya, Dayna Nyange, yupo nchini Nigeria akiandaa nyimbo kadhaa zitakazokuwa kwenye EP (extended playlist) yake mpya. Akizungumza na JAMHURI, msanii huyo wa kike ambaye yupo kwenye mikakati ya kurejesha…

Majaliwa kauvae u-Sokoine

DAR ES SALAAM Na Javius Byarushengo  “Ole wake kiongozi mzembe na asiye na nidhamu nitakayemkuta: Kiongozi wa siasa hana usalama wa aina yoyote. Usalama wake ni kudra ya Mungu na wananchi peke yake. Viongozi wazembe na wabadhirifu wahesabu siku zao. Labda…

TAMISEMI chunguzeni tuhuma za madiwani

GEITA Na Antony Sollo Watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbogwe mkoani Geita, Kitengo cha ukusanyaji mapato wamemuomba Waziri wa TAMISEMI, Ummy Mwalimu, kuunda tume ya wataalamu kufanya uchunguzi kubaini ukweli kuhusu tuhuma za ubadhirifu wa mamilioni ya fedha za…

Rais Samia Suluhu: Mjenzi makini wa demokrasia

Na Mwalimu Paulo Mapunda  Kamusi ya Kiswahili Sanifu, Toleo la Pili la mwaka 2004, inaeleza maana ya neno “Demokrasia” kuwa ni mfumo wa kuendesha serikali iliyochaguliwa na watu kwa manufaa ya watu. Hivyo uhalali wa serikali yoyote ya kidemokrasia unatokana…