JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Magazetini

Samia: Alama sahihi uimara wa Muungano

DAR ES SALAAM Historia ya nchi yetu inawataja Mwalimu Julius Kambarage Nyerere na Sheikh Abeid Aman Karume kuwa waasisi wa Muungano wa nchi mbili zenye mashabihiano ya kihistoria. Nchi hizo ni Tanganyika iliyotawaliwa na Ujerumani (1885-1918) baadaye Uingereza (1919-1961) ilipopata…

Yah: Analalamika wananchi tumwone, tumchague tena akalalamike

Asanteni sana nyote mnaoniunga mkono kwa kupokea barua yangu ya kila wiki kupitia ukurasa huu. Nia na madhumuni ya barua hii ni kukumbushana na kutoa au kuwasilisha maoni yangu kwa jamii kuhusu maisha yetu ya kila siku, sanjari na utamaduni…

Umoja ni ufanisi

Umoja ni nguvu, utengano ni udhaifu. Hii ni methali kongwe katika lugha yetu ya Kiswahili, ikiwa ibebeba ujumbe muhimu katika kuongoza watu kupata ufanisi mkubwa pindi wanapoamua kufanya jambo katika hali ya kushirikiana.  Watu walio makini mara nyingi wanapenda kufanya…

Epuka malumbano ya Ukristo na Uislamu
 Mtandaoni

Teknolojia ya Habari na Mawasiliano yakiwamo matumizi na mitandao ya kijamiiyamewezesha wepesi na ukaribu wa mawasiliano ya watu duniani kiasi chakuthibitisha ukweli wa ‘Dunia Kiganjani’ au ‘Dunia kama kijiji kimoja.’  Pamoja na manufaa haya bado ukweli ulio dhahiri ni kuwa…

Siri imefichuka

*JAMHURI latonywa jinsi mtandao ulivyofanya kazi *Wastani wa vibali feki 500 hutolewa kila mwezi mipakani *Mabilioni ya fedha yachotwa kati ya 2015 – 2020 *Maofisa Uhamiaji waadilifu waadhibiwa, wafukuzwa *Waliomgalagaza raia na kumtesa wasimamishwa kazi DAR ES SALAAM Na Mwandishi…

Wanaomzushia majanga JK mizimu itawaumbua 

BAGAMOYO Na Umar Mukhtar Wapo baadhi ya watu wasiotaka kukiri kuwa miongoni mwa wanasiasa waliowahi kutokea Afrika ambao ni wajuzi wa mapiku ya kisiasa na masuala ya utawala kuwahi kutokea; watu wenye maarifa mapana na mizungu ya kisiasa wanaozijua vema…