Category: Magazetini
Kilio cha Rais Sambi kuachiwa charindima
NA MWANDISHI WETU Mwakilishi wa Umoja wa Afrika (AU) nchini Comoro ameingilia kati mgogoro wa kuwekwa kizuizini kwa Rais mstaafu wa Visiwa vya Comoro, Ahmed Abdallah Mohamed Sambi. Mwakilishi huyo, Hawa Youssouf, amemtembelea Rais mstaafu Sambi kizuizini alikowekwa kwa amri…
Vitalu vya uwindaji yale yale
DAR ES SALAAM NA MWANDISHI WETU Ugawaji wa Vitalu vya Uwindaji wa Kitalii kwa njia ya kielektroniki umelalamikiwa na sasa baadhi ya wadau wenye tasnia hiyo wameshauri mnada urejewe. Wanasema kurejewa huko si tu kwamba kutakuwa ni kuwatendea haki waombaji…
CRDB inapiga hatua kila kukicha
DAR ES SALAAM Na Mwandishi Wetu Benki ya CRDB imeendelea kupiga hatua kubwa za kupigiwa mfano katika sekta ya fedha nchini, na sasa inatoa huduma katika maeneo yaliyodhaniwa kuwa yanazifaa nchi za Ulaya pekee. Ukiacha kushusha riba, kujenga jengo kubwa,…
Urusi Vs Ukraine
*Ni pambano la ‘Daudi na Goliati’ uwanjani *Urusi ina kila kitu, makombora mazito, ndege *Marekani, Uingereza zaitosa Ukraine kijeshi *Putin aandaa matumizi ya zana za nyuklia Dar es Salaam Na Mwandishi Wetu Hali inazidi kuwa tete nchini Ukraine na wananchi…
Ummy: Sitaki kusikia kuna uhaba wa damu salama
DAR ES SALAAM Na Aziza Nangwa Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu, amesema hataki kusikia kuna uhaba wa damu salama na anataka kuona inapatikana muda wote. Akizungumza Dar es Salaam mwishoni mwa wiki iliyopita, Ummy, amesema damu salama haipatikani sehemu nyingine…
Wanaoishi kinyemela nchini sasa ni wakati wa kuwabaini
Kamishna Jenerali wa Jeshi la Uhamiaji anasema jeshi hilo linaendelea na operesheni ya kuwabaini wahamiaji haramu nchini. Anasema tayari kazi hiyo imeonyesha mafanikio makubwa kwani watu wengi walio nchini kinyume cha sheria wameshatiwa mbaroni na kufikishwa mahakamani na wengine kurejeshwa…