Category: Magazetini
Msungu: Jamani ni sanaa tu!
DAR ES SALAAM Na Regina Goyayi Msanii wa filamu nchini, Stanley Msungu, amewatoa hofu mashabiki wake akisema kinachoonekana jukwaani si maisha yake halisi. Akizungumza na JAMHURI jijini hapa, Msungu anasema kumekuwa na shaka miongoni mwa mashabiki wa filamu wakihisi kwamba…
MOI yafundisha wataalamu zaidi wa upasuaji ubongo kupitia pua
*Mgonjwa hupona kwa muda mfupi *Bima ya Afya ni suluhu upatikanaji huduma za kibingwa DAR ES SALAAM Na Aziza Nangwa Taasisi ya Mifupa Muhimbili (MOI) imepiga hatua nyingine kwenye maboresho ya miundombinu na vifaa vya kisasa katika upasuaji wa ubongo…
Uwazi kikwazo sekta ya madini
LINDI Na Christopher Lilai Moja ya mambo yaliyosababisha kuwapo kwa vurugu za kuzuia mradi wa ujenzi wa bomba la gesi kutoka Mtwara hadi Dar es Salaam miaka kadhaa iliyopita ni kukosekana kwa uwazi. Mwanzoni, wananchi wengi hawakuielewa kiundani dhima ya…
WADUNGUAJI HATARI KUMI ‘Shetani’ Chris Kyle (8)
Katika mfululizo wa makala hizi za kuangalia wadunguaji, leo tutamzungumzia mtu mwingine ambaye naye alikuwa mwanajeshi. Moja ya madhila aliyokutana nayo ni yeye pia kulengwa na wadunguaji wengine wa upande wa maadui zao. Alikuwa ni mwanajeshi katika jeshi la Marekani…
Uongozi wa juu huakisi maisha ya wananchi
DAR ES SALAAM Na Mwl. Paulo Mapunda Naomba nitamke mapema kwamba mimi ni Mkristo mwenye mizizi katika Ukatoliki na baadaye wokovu, nimezaliwa na kukulia ndani ya Ukatoliki, hata ndoa yangu nilifunga Parokia ya Manzese. Elimu yangu nimeipata katika shule zenye…
Mwendo wa kusuasua wa EAC
DAR ES SALAAM Na Mwalimu Samson Sombi Kijiografia Afrika Mashariki inaundwa na nchi tatu; Tanzania, Kenya na Uganda. Tanzania na Kenya zinapakana na Bahari ya Hindi kwa upande wa mashariki. Nchi hizi tatu zimeunganishwa na Ziwa Victoria. Baada ya nchi…