Category: Magazetini
Mzee Mpili anapotuongezea siku za kuishi
DAR ES SALAAM Na Mwandishi Wetu Hebu fikiria unarudi nyumbani au maskani kutoka kazini, umechoka kwa pilikapili za kutwa nzima, kama kawaida unajikuta unashika simu yako ya kiganjani na kuingia katika mitandao ya kijamii. Mitandao ya kijamii ni liwazo kwa…
Hadhari bidhaa za Kariakoo
DAR ES SALAAM Na Aziza Nangwa Moto uliozuka na kuteketeza sehemu kubwa ya Soko la Kariakoo jijini Dar es Salaam huenda ukasababisha athari kadhaa za kiafya kwa Watanzania. Moto huo uliozuka usiku wa Julai 9, mwaka huu, mbali na kuathiri…
Tunaufungaje mjadala wa Mtaka vs Prof. Ndalichako?
Na Joe Beda Rupia Elimu elimu elimu. Ndiyo. Elimu. Inatajwa kuwa ufunguo wa maisha. Lakini kikubwa zaidi elimu ndiyo silaha dhidi ya ujinga. Ujinga. Moja miongoni mwa mambo matatu yanayotajwa na Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere, kama maadui wakuu…
Vigogo 12 wachunguzwa vurugu Afrika Kusini
JOHANNESBURG, AFRIKA KUSINI Idara ya Upelelezi nchini Afrika Kusini imetangaza kuwa imewagundua watu 12 waliohamasisha maandamano yaliyosababisha vurugu na uporaji katika majimbo mawili makubwa nchini humo. Vurugu hizo zilianza baada ya Mahakama ya Katiba kumhukumu rais wa zamani wa nchi…
NGO yapinga Zimbabwe kupeleka tembo China
HARARE, ZIMBABWE Shirika lisilo la kiserikali nchini Zimbabwe limeishitaki serikali ya nchi hiyo kupinga mipango ya kusafirisha wanyama aina ya tembo kwenda China. NGO hiyo, Advocates4Earth, inaituhumu China kwa kuwasababishia tembo madhila kwa kutowapatia huduma stahiki. Katika kesi iliyoifungua katika…
Kulikoni bei ya pombe ishuke?
DAR ES SALAAM Na Dk. Felician Kilahama Awali ya yote, ninamshukuru Mwenyezi Mungu kwa amani tuliyonayo nchini. Hakika Mungu ni mwema. Neno la Mungu linatutahadharisha tuwe makini (Luka 21: 34(a): “Basi jihadharini mioyoni mwenu isije ikalegea na ulafi, na ulevi…