JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Magazetini

Chanjo ya corona kufufua utalii

DODOMA Na Mwandishi Wetu Serikali imepongezwa kwa kuruhusu chanjo ya ugonjwa wa homa kali ya mapafu inayosababishwa na virusi vya corona (COVID-19), hatua itakayofungua milango katika sekta ya utalii nchini. Sekta hiyo ambayo ni moja ya vyanzo vikuu vya mapato…

Msimchonganishe Rais na wananchi

Rekodi ya utendaji kazi wa Rais Samia Suluhu Hassan ilianza kujionyesha wazi tangu alipoapishwa kushika wadhifa huo. Watanzania na walimwengu kwa ujumla wao mara moja walianza kuonja pepo ya haki miongoni mwa wananchi.  Kwa muda mfupi, mamia ya watu waliokuwa…

‘Wametuangusha’

*Wananchi wawatupia lawama wabunge kuhusu tozo kwenye miamala *Wamgeukia Rais wakimuomba atafute namna ya kufanya *Profesa wa uchumi adai ingawa ni ngumu, inawezekana *Wakala M-Pesa: Kuna ‘watu’ wanataka kumkosanisha Mama na wananchi *Simu ya Azzan Zungu yawa yamoto, haipokeleki DODOMA…

Mambo ya Nje haijamchukulia hatua Balozi

DAR ES SALAAM Na Mwandishi Wetu Katika hali ya kushangaza, wiki tatu baada ya JAMHURI kuandika taarifa ya Balozi anayejihusisha na usafirishaji mabinti kwa njia isiyo halali, bado Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa haijachukua hatua yoyote….

Ajuza alea mapacha

*Ni Naomi na Sara ambao walipata majanga siku 11 tu baada ya kuzaliwa *Aishi nao chumba chenye giza, bila huduma ya maji, wala lishe bora *Asema hajawahi kuwa na Bima ya Afya, sembuse watoto hao! BUKOBA Na Phinias Bashaya Naomi…

Makosa ya Miss Tanzania haya hapa

DAR ES SALAAM  Na Regina Goyayi Hatimaye Kampuni ya The Look na Kamati ya Miss Tanzania imeweka hadharani makosa sita yaliyosababisha kuenguliwa kwa Miss Tanzania 2020/2021, Rose Manfere, kuwakilisha nchi katika mashindano ya urembo ya dunia, yaani Miss World. Akizungumza…