Category: Magazetini
Tatizo Afrika Kusini ni zaidi ya ‘Zuma’
ZANZIBAR Na Masoud Msellem Juni 29, 2021, Mahakama ya Katiba ya Afrika Kusini ilimhukumu aliyewahi kuwa Rais wa nchi hiyo, Jacob Zuma (79) kwenda jela kwa miezi 15 kwa kupuuza amri ya mahakama. Amri hiyo ilimtaka atoe utetezi wa tuhuma…
Marekani yaiwekea vikwazo Cuba
WASHINGTON, MAREKANI Serikali ya Marekani imewawekea vikwazo viongozi kadhaa wa Cuba wakidaiwa kukiuka haki za binadamu wakati wa maandamano yaliyofanyika mapema mwezi huu. Kitendo hicho cha utawala wa Rais Joe Biden kimekuja katikati ya shinikizo kutoka kwa raia wa Marekani…
Morocco yamdukua Rais wa Ufaransa
PARIS, UFARANSA Ufaransa inaishutumu Morocco kwa matumizi mabovu ya teknolojia ya kishushushu inayofahamika kama Pegasus – kuwadukua viongozi wake akiwamo Rais Emmanuel Macron na mawaziri 14. Programu hiyo inayotengenezwa nchini Israel kwa ajili ya udukuzi wa simu za watu, imeshitukiwa…
Majambazi watungua ndege ya jeshi
ABUJA, NIGERIA Katika hali isiyokuwa ya kawaida, ndege ya kivita ya jeshi la Nigeria imetunguliwa na kundi linalodaiwa kuwa la majambazi. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Jeshi la Nigeria, rubani wa ndege hiyo, Luteni Anga Abayomi Dairo, alijikuta akishambuliwa…
Uzalendo ni mapenzi ndani ya moyo
Uananchi na utaifa wa mtu ni hali mbili ambazo zinamjenga kutokana na mapenzi mazito, ridhaa na ari moyoni ya kufanya jambo jema na kumsukuma kuwa tayari afe kwa ajili ya kuitetea nchi yake. Mtu wa aina hii ndiye hasa aletaye…
Benki ya Kilimo yatoa Sh bilioni 1.15
IRINGA Na Mwandishi Wetu Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) kwa kushirikiana na Clinton Development Initiative (CDI) imejipanga kutoa mikopo ya Sh bilioni 1.15 kufungua mnyororo wa thamani wa zao la soya mkoani hapa. Kwa mujibu wa randama ya…