Category: Magazetini
Uislamu unahimiza kufanya kazi, unapinga ukupe
Anuani ya makala yetu leo inatudai fasili ya maneno mawili ya Kiswahili: Kazi na Ukupe. Kazi kwa fasili inayozingatia sheria ni “shughuli yoyote halali inayompatia mtu kipato au masilahi fulani halali yaliyokubaliwa,” wakati kwa mujibu wa Kamusi ya Kiswahili Sanifu…
Kimewaka CCM
*Mtandao wa ‘mwendazake’ watajwa kumchimba Rais Samia kuelekea 2025 *Ulikusanya mamilioni wakati wa uchaguzi kutoka kwa wagombea ubunge, udiwani *Mfanyabiashara tajiri Kanda ya Ziwa atajwa kushikilia fuko la fedha zilizokusanywa *Mamluki waliounga mkono kushughulikiwa, watajwa kubadilika kulinda masilahi NA MWANDISHI…
Waziri Kalemani atumia kivuli cha ‘maagizo kutoka juu’
Na Mwandishi Wetu Waziri wa Nishati, Medard Kalemani, ametajwa kutumia lugha ya kwamba kuna “maagizo kutoka juu” mara nyingi anapowapa maelekezo watendaji wa wizara yake kuhakikisha mambo yanapitishwa haraka, JAMHURI limeambiwa. JAMHURI limeelezwa kuwa kama si Katibu Mkuu wa Wizara…
Sekretarieti yavujisha mitihani ajira za TRA
DAR ES SALAAM NA DENNIS LUAMBANO Mitihani na majibu ya usaili wa walioomba ajira zilizotangazwa na Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma (PSRS) kwa ajili ya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) vimevuja, JAMHURI linathibitisha. PSRS walitangaza ajira hizo Juni…
Sabaya aamua kufukua makaburi
ARUSHA Na Hyasinti Mchau Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro, Lengai ole Sabaya, amedai mbele ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha kwamba alikwenda kwenye duka la Shaahid Store kutekeleza maagizo ‘kutoka juu’. Akiongozwa na Wakili Mosses Mahuna wakati…
S2Kizzy: Master J, sisi si chawa
DAR ES SALAAM Na Regina Goyayi Kauli iliyotolewa hivi karibuni na mtayarishaji mkongwe wa muziki nchini, Joachim Kimaryo, maarufu kama Master J, imemuibua mtayarishaji ‘chipukizi’, S2Kizzy, akisema siku hizi mambo yamebadilika. Hivi karibuni, Master J amekaririwa akisema watayarishaji wa muziki…