JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Magazetini

Wafukuzwa kazi kwa mgomo Mwendokasi

DAR ES SALAAM Na Mwandishi Wetu Baadhi ya wafanyakazi wa Kampuni ya Sinohydro wanaojenga barabara ya mabasi yaendayo haraka kutoka Kariakoo hadi Mbagala wamefukuzwa kazi huku wengine wakirejeshwa licha ya kufanya mgomo wiki iliyopita wakishinikiza kulipwa fedha za usafiri, chakula…

Nimrod Mkono aumizwa

*Nyumba ya Sh bil. 7 inauzwa kulipa Sh mil. 30 *Familia yapambana usiku, mchana kunusuru * Tayari ofisi zake ghorofa 2 zimepigwa mnada NA MWANDISHI WETU DAR ES SALAAM Nyumba ya makazi ya mwanasheria na mwanasiasa nguli nchini, Nimrod Mkono,…

Benki yahukumiwa kwa kumwibia mteja

DAR ES SALAAM Na Mwandishi Wetu Mahakama Kuu ya Tanzania Divisheni ya Biashara imeiamuru EcobankTanzania Limited kumlipa mteja wake zaidi ya Sh milioni 100 baada ya kukutwa na hatia ya ‘kukwapua’ takriban Sh milioni 66 kutoka kwenye akaunti yake. Hukumu…

Gwajima, Polepole, Silaa wazidi kubanwa mbavu

DAR ES SALAAM NA MWANDISHI WETU Mienendo ya wabunge wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Askofu Josephat Gwajima (Kawe), Jerry Silaa (Ukonga) na Humphery Polepole (kuteuliwa) inazidi kumulikwa. Kumulikwa kwa mienendo hiyo hasa kwa Gwajima na Silaa kunatokana na kuadhibiwa Jumanne…

Rais Mwinyi achukua uamuzi mgumu Z’bar

ZANZIBAR Na Mwandishi Wetu Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi, amesema serikali imefanya uamuzi mgumu wa kuziuza meli zote za Shirika la Meli la Zanzibar (Shipco). Akizungumza wakati wa majumuisho ya ziara yake…

Kamati ilete majibu utitiri tozo za mafuta

Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa, amesema kamati iliyoundwa kuchunguza mfumko wa bei ya mafuta nchini kati ya mwezi Julai, Agosti na Septemba, itatoa taarifa yake Septemba 16, 2021. Kamati hiyo iliundwa Septemba 2, 2021. Katika hili, ninadhani tunakwenda kufanya…