JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Magazetini

Polisi msikamate kabla ya upelelezi

Na Deodatus Balile, Dodoma Kwanza ninaomba kuwashukuru wasomaji wangu kwa mrejesho mkubwa mno kutokana na safu hii ya SITANII kwa makala niliyoiandika wiki iliyopita.  Katika makala ya wiki iliyopita nilimwomba DPP kutumia mamlaka yake ya kisheria kuiondoa mahakamani kesi inayomkabili…

Wananchi, madaktari Mtwara wafurahia huduma za madaktari bingwa wa MOI

MTWARA NA AZIZA NANGWA Wananchi mkoani Mtwara wamesema kutokana na wimbi kubwa la ajali za barabarani hasa zinazotokana na pikipiki na magari, wanaona kuna umuhimu wa kuwa na huduma za madaktari bingwa wa mifupa kwenye maeneo ya vijijini, JAMHURI limeambiwa….

Rais Mwinyi: Tunadhibiti wizi wa fedha za umma

UNGUJA Na Mwandishi Wetu Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi, amesema hatua za serikali zinazochukuliwa dhidi ya wizi wa fedha za umma ni juhudi za makusudi katika kuhakikisha zinapokusanywa zinawafaidisha walio wengi badala…

Bouteflika afariki dunia

ALGIERS, ALGERIA Rais wa zamani wa Algeria, Abdelaziz Bouteflika, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 84 baada ya kuugua kwa muda mrefu. Bouteflika ameliongoza taifa hilo la kaskazini mwa Afrika kwa takriban miongo miwili, akaachia ngazi mwaka 2019 baada…

Machozi… Albamu iliyompaisha Lady Jaydee

TABORA Na Moshy Kiyungi Judith Wambura, maarufu kama Lady Jaydee, Jide, Komandoo au Binti Machozi ni miongoni mwa wasanii wakongwe wa kike nchini. Msanii huyu ana kipaji na uwezo mkubwa wa kutunga na kuimba nyimbo zenye ujumbe mzito kwa jamii…

Amuua mama, atoweka na mtoto

SHINYANGA Na Antony Sollo Mtu mmoja anayefahamika kwa jina la Rahim Mwita mkazi wa Sarawe mkoani hapa, anadaiwa kumuua mkewe, Monica Lucas, kisha kutokomea kusikojulikana na mtoto wa mama huyo ajulikanaye kwa jina la Prince. Ndugu wa mama huyo, Mabula…