Category: Magazetini
Mchango wa mlemavu wamng’oa mwenyekiti
MOROGORO Na Mwandishi Wetu Wakazi wa Lukwenzi, Mvomero mkoani Morogoro wamemwondoa madarakani Mwenyekiti wa Kitongoji hicho, Zakaria Benjamin, wakimtuhumu kupoteza fedha za umma, zikiwamo Sh 350,000 zilizotolewa na Maria Costa ambaye ni mlemavu. Benjamin amekuwa akilalamikiwa mara kwa mara kwenye…
Waliomzamisha Sabaya
*Mashahidi wazungumza na JAMHURI, walieleza ya moyoni *Wamsifu Rais Samia kurejesha utawala wa sheria nchini *Wataka wateule wapate fundisho kwani ipo siku yatawakuta *Gazeti la JAMHURI lilikuwa la kwanza kufichua uovu wake DAR ES SALAAM, ARUSHA Na Waandishi Wetu Mashahidi…
Sengerema wamjaribu Rais Samia
SENGEREMA Na Antony Sollo Fedha zilizotolewa na serikali kwa ajili ya ujenzi wa jengo la Halmashauri ya Wilaya ya Sengerema mkoani Mwanza, zimeliwa. Uchunguzi wa JAMHURI umebaini kuwa wizi wa fedha hizo umefanywa kwa ustadi mkubwa na maofisa kadhaa wa…
Mgongano ajira Polisi
*Kauli ya Simbachawene yadaiwa kudhalilisha makonstebo DAR ES SALAAM Na Dennis Luambano Sifa za vijana wanaoomba ajira katika majeshi kuwa na ufaulu wa daraja la nne zimezidi kuibua mgongano wa kauli baada ya Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,…
Hatua hii ya Serikali iwe ya kudumu
Serikali imeamua kwa makusudi kuwapanga wafanyabiashara wadogo na jana ilitarajiwa kuwa siku ya mwisho kwa wafanyabiashara hao maarufu kama wamachinga wa Dar es Salaam kuondoa vibanda vyao katika maeneo yasiyo rasmi. Hii ni hatua muhimu katika utekelezaji wa maelekezo ya…
Tukisikia ya watesi wengine Sabaya ataonekana malaika
Watu waungwana hawashangilii binadamu anapofikwa na mabaya, lakini huwa hawajizuii kufurahi wanapoona haki imetendeka. Naam! Wapo wanaoshangilia si kwa kuwa Lengai Sabaya amefungwa, bali kwa kuona haki imetendeka. Ni jambo la huzuni kwa kijana mdogo kuhukumiwa kifungo kikali kiasi hicho,…