JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Magazetini

Wataka uwazi mikataba ya uziduaji

DODOMA Na Mwandishi Wetu Asasi za kiraia nchini (AZAKI) zimependekeza suala la uwazi wa mikataba ya sekta ya uziduaji kuwa mojawapo ya vipaumbele vya serikali wakati wa utekelezaji wa Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa Tatu unaotekelezwa sasa. Pendekezo hilo…

RC ataka utafiti matumizi ya ‘salfa’

TABORA Na Tiganya Vincent Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Balozi Dk. Batilda Buriani, amezitaka taasisi za utafiti wa wadudu kuchunguza matumizi ya salfa (sulfur) wakati wa kunyunyuzia mikorosho kama haina athari kwenye ufugaji nyuki. Amesema ni muhimu ili makundi ya…

Serikali yamwaga ajira

*Wananchi kadhaa walia kuwapo dalili za ubaguzi *Mmoja adai kigezo cha kupitia JKT kinaumiza *Mbunge: Sababu ni Serikali kukosa mfumo imara DAR ES SALAAM NA MWANDISHI WETU Serikali imetangaza ajira takriban 1,450 kwa vijana kwa ajili ya kujaza nafasi kwenye…

Ingawa bado ni himilivu,  deni la taifa lazidi kupaa 

*Lafikia Sh trilioni 77.9 kutoka Sh trilioni 10.8 (2005), Sh trilioni 14.2 (2010), Sh trilioni 63.9 (2019) KIBAHA Na Costantine Muganyizi Mzigo wa deni la taifa umezidi kuongezeka ingawa kiasi cha takriban Sh trilioni 77.9 ambazo Tanzania ilikuwa inadaiwa hadi…

Mjue Meja Jenerali aliyefungua milango kwa wanawake JWTZ 

DAR ES SALAAM Na Aziza Nangwa Ni jambo jema kufanya kitu chenye masilahi mapana kwa nchi yako. Kama hivyo ndivyo, ninaomba tusafiri sote kupitia maandishi ya makala hii ili kumfahamu Meja Jenerali Zawadi Madawili. Madawili ni mwanamke wa kwanza hapa…

Mabilioni ya Samia yazusha hofu

DAR ES SALAAM Na Mwandishi Wetu Watendaji wa serikali na halmashauri za wilaya, nyingi zikiwa ni za pembezoni mwa nchi, wamo kwenye wakati mgumu wakiwaza namna watakavyotekeleza kwa ufanisi maelekezo yaliyotolewa na Serikali Kuu, hasa kwa upande wa ujenzi wa…