Category: Magazetini
KUMBUKIZI YA SALUM ABDALLAH… Aliacha duka akatorokea Mombasa
Mpenzi wangu utaniponza, Kwa mambo unayoyafanya, Mpenzi unatuchonganisha, Mimi na yule ni rafiki, Wewe watupambanisha, Mpenzi utaniumiza. Wajaribu kunidanganya, wanambia yule wangu mwana, Kumbe pembeni ni wako bwana, Mpenzi utaniumiza, Yule ulisema yule kaka, Kumbe mafuta ulinipaka, Pembeni huwa hekaheka, …
Membe aibua mapya
DAR ES SALAAM NA DENNIS LUAMBANO Mwanasiasa Bernard Membe anasema kuna umuhimu kwa viongozi wote kufanyiwa uchunguzi wa kina ili kujua historia na taarifa zao kwa kuwa baadhi yao si Watanzania. Huu ni mfululizo wa habari zinazotokana na mahojiano maalumu…
‘Membe uliponzwa na utovu wa nidhamu’
DAR ES SALAAM Na Dk. Boniphace Gaganija Nianze kwa kutoa pongezi zangu za dhati kwa Mheshimiwa Bernard Membe kwa kuelezea namna alivyofitiniwa na Rais Dk. John Magufuli na kupoteza nafasi ya kuchaguliwa kuwa Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Madola. Pongezi…
MWAKA MMOJA MADARAKANI… Rais Mwinyi kuwalipa waliotapeliwa ‘DECI’
ZANZIBAR Na Mwandishi Wetu Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi, ameahidi kuwalipa watu waliotapeliwa mabilioni ya fedha kwa njia ya upatu. Akizungumza wakati wa maadhimisho ya mwaka mmoja wa uongozi wa Awamu ya…
Fahamu magumu aliyopitia Jaji Bwana
DAR ES SALAAM Na Aziza Nangwa Je, unamjua mwanasheria wa kimataifa aliyepiga hatua tangu kuwa hakimu mkazi mwaka 1975 hadi kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufani nchini Tanzania na Shelisheli, na haikutosha akateuliwa tena na Umoja wa Mataifa (UN) kuwa…
Miaka 60 ya Uhuru Madini yadhibitiwa kutoroshwa nje
DODOMA Na Mwandishi Wetu Kuelekea kilele cha miaka 60 ya Uhuru wa Tanzania kitakachofanyika Desemba 9, mwaka huu, Waziri wa Madini, Dotto Biteko, amesema sekta ya madini imepata mafanikio makubwa kwa kuzuia utoroshaji wa madini kwenda nje ya nchi Biteko…