Category: Magazetini
RAIS TRUMP AZIDI KUANDAMWA
WASHNGTON, MAREKANI Seneta wa Chama cha Republican nchini Marekani, Jeff Flake, amemkosoa vikali Rais Donald Trump kwa matamshi yake ya mara kwa mara yanayoonekana kuvishambulia vyombo vya habari . Akizungumza katika Baraza la Seneti nchini humo, amesema kiongozi aliyeko madarakani anapokuwa na mazoea…
BADO HUJACHELEWA KUSEMA HAPANA KWA SIGARA
Kama ni mvutaji wa sigara, basi pia unapaswa kufahamu ni kwa kiasi gani uvutaji wa sigara ulivyo na madhara kwa afya yako. Nimejaribu kufanya utafiti mdogo ikiwa ni pamoja na kuongea na ‘wavutaji mahiri’ na asilimia 90 ya wavutaji, 45…
MAENDELEO NI KAZI SEHEMU YA SABA
Maendeleo yana sheria zake. Ingawa tunasema kwamba, maendeleo yao yanakwenda mijini, mendeleo yote yanakwenda mijini. Ni kweli tunasema hivyo, lakini mnafikiria mijini wana uchawi? Kuna masharti ya maendeleo. Nimepata kutumia mfano- nadhani hapa hapa kwamba, mvua inaponyesha, kuna kitu uvutano…
Habari Mpya Haya Hapa Magazeti ya Leo Januari 24, 2018
Kama upo mbali na meza za magazeti mtaani kwako basi husipitwe na kilichoandikwa kwenye magazeti ya leo Jumatano Januari,24, 2018 nimekuekea hapa.
MWALIMU NANI? ADHA ZA TAKSI DAR ES SALAAM
Mapema mwezi huu nikiwa Dar es Salaam nilituma ujumbe kuomba huduma ya usafiri wa Uber, huduma nafuu ya usafiri wa taksi ambayo imeleta nafuu ya gharama za usafiri jijini humo. Katika kutumia Uber nimegundua tatizo moja la msingi. Madereva hawana…
GMOS: KIGINGI KWA UFANISI WA KILIMO MANYARA
NA RESTITUTA FISSOO, MANYARA Ni ukweli usiopingika kuwa ili kufikia azma ya Serikali ya kufanya kilimo kuwa biashara, kukuza kipato, matumizi ya sayansi na teknolojia vinahitajika ili kuongeza uzalishaji na tija kwa mkulima. Hata hivyo, teknolojia mpya ya kubadilisha vinasaba…