Category: Magazetini
SERA YA ELIMU BURE INAHITAJI UMAKINI
NA ALEX KAZENGA Kitendo cha Rais John Magufuli kuagiza kuchukuliwa hatua kwa watendaji na viongozi katika maeneo ambayo shule za msingi na sekondari bado zinaendeleza tabia ya kutoza michango kwa wazazi, hata baada ya Serikali kutangaza kutoa elimu bila malipo,…
MKAA MBADALA UNAVYOCHOCHEA HIFADHI YA MAZINGIRA KILIMANJARO
NA JAMES LANKA, MOSHI Ukataji hovyo wa miti kwa ajili ya kuni na kuchoma mkaa unaotumika na wananchi wengi hasa wa kipato cha chini na cha kati kuwa nishati ya kupikia, unachochea uharibifu wa mazingira katika Mkoa wa Kilimanjaro. Ingawa…
MIMBA ZA UTOTONI ZINAVYOATHIRI WANAFUNZI DODOMA
NA EDITHA MAJURA Wanafunzi wa kike 710 mkoani Dodoma hawakufanya mtihani wa kumaliza elimu ya msingi mwaka jana, kutokana na sababu mbalimbali, 67 kati ya hao wakitokana na ujauzito. Taarifa ya sekta ya elimu inayowasilishwa na Afisa Elimu wa Mkoa,…
CAF YATOA ONYO MICHEZONI
NA MICHAEL SARUNGI Tatizo la rushwa kupenya katika mpira wa miguu limelitikisa Shirikisho la Soka Afrika (CAF) kiasi cha kuamua kufuta posho za waamuzi kulipwa na vyama na mashirikisho Afrika. Sasa posho zao zitalipwa moja kwa moja kutoka CAF kwa waamuzi…
Haya Hapa Magazeti ya Leo Januari 25, 2018
Kama upo mbali na meza za magazeti mtaani kwako basi husipitwe na kilichoandikwa kwenye magazeti ya leo Alhamisi Januari,25, 2018 nimekuekea hapa
MAFANIKIO YOYOTE YANA SABABU (6)
Padre Dk Faustin Kamugisha Kushindwa ni sababu ya mafanikio ilmradi kusiwe desturi. Bill Gates, tajiri mkubwa duniani, amesema, “Ni vizuri kusherehekea mafanikio, lakini ni muhimu kujifunza masomo unayopewa na kushindwa.” Kushindwa huwafanya baadhi ya watu kuvunjika moyo na wengine kuvunja…