Category: Magazetini
SAKATA LA MAGARI YA POLISI MASAUNI; NASUBIRI RIPOTI NIFANYE KAZI
NA MWANDISHI WETU Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, amesema kwamba amemwelekeza Katibu Mkuu, Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, kuunda tume mbili za uchunguzi kuhusu uagizwaji na uingizwaji wa magari ya Jeshi la…
TUNAHITAJI AMANI KWENYE KAMPENI
NA MICHAEL SARUNGI Katika chaguzi ndogo za udiwani zilizofanyika mwaka jana, kuliripotiwa uwepo wa vurugu kiasi cha kusababisha baadhi ya vyama vya siasa kususia chaguzi zilizofuata katika majimbo ya Songea Mjini na Singida Kaskazini. Taarifa za uwepo wa vurugu katika…
NDUGU RAIS TULITOKA KWA UDONGO TUTARUDI KWA UDONGO
Ndugu Rais, kati yetu sisi wote hakuna atakayekufa halafu jeneza lake lihifadhiwe darini au juu ya mti kama mzinga wa nyuki. Bila kujali litakuwa na thamani ya kiasi gani, lakini jeneza litafukiwa chini, udongoni! Na hapo ndipo patakuwa utimilifu wa…
MAENDELEO NI KAZI SEHEMU YA 7
Wiki iliyopita katika kitabu hiki cha Maendeleo ni kazi mwalimu alikuwa anazungumzia kuhusiana na sera ya Kuanzisha vijiji vya ujamaa na namna ya kuzingatia vipaumbele vya msingi katika kuwaletea maendeleo wananchi. Sehemu inayofuata ni mwendelezo wa pale tulipo ishia wiki…
HUJUMA ZIEPUKWE KAMPENI ZA KINONDONI, SIHA
Moja ya kauli za Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya, baada ya Mahakama ya Juu nchini humo kutengua ushindi wake wa awali Agosti mwaka jana, aliwahimiza Wakenya kuwa wamoja. Rais Kenyatta akasema raia wa taifa hilo lililokabiliwa na machafuko ya baada ya…
ONGEZEKO LA UFAULU DARASA LA SABA LABEBA WASIOJUA KUSOMA, KUANDIKA
Na Alex Kazenga MVOMERO Wakati matokeo ya darasa la saba kwa mwaka jana nchini yakionesha ufaulu kuongezeka kwa asilimia 72.76 ikilinganishwa na 70.36 ya mwaka 2016, kubainika kwa waliofaulu bila kujua kusoma wala kuandika. Uwepo wa hali hiyo, ya watoto…