JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Magazetini

YAH: SIMULIZI YA TANZANIA NIIJUAYO

Sijasimulia kiasi cha kutosha juu ya nchi yangu niipendayo, nchi ambayo nimeiishi kwa maisha na matendo, nchi ambayo ninaijua ‘ndani nje’, iwe kiuchumi, siasa, utamaduni, teknolojia, uzalendo na zaidi ya yote kiuongozi. Ni nchi ambayo labda inaweza ikawa ni historia…

MJANE ATIMULIWA KWENYE NYUMBA KWA MABAVU

DAR ES SALAAM NA MICHAEL SARUNGI Mary Njogela (70), mjane anayehifadhiwa kwenye jumba bovu lililoko Mikocheni ‘B’ jijini Dar es Salaam baada ya kuondolewa kwa nguvu na watoto wa kufikia wa marehemu mume wake, anaomba msaada wa Serikali ili arejeshewe…

USITISHAJI MICHANGO MASHULE ‘WAITIKISA’ DODOMA

NA EDITHA MAJURA Dodoma Agizo la Rais John Magufuli kuzuia wazazi wa wanafunzi wanaosoma katika shule za msingi na sekondari zinazomilikiwa na Serikali wasitozwe michango, limeibua changamoto katika uendeshaji wa shule hizo mkoani hapa, imebainika. JAMHURI limebaini hayo baada ya…

JAJI ROBERT KISANGA: NYOTA YA HAKI SAWA ILIYOZIMIKA

Mashaka Mgeta Alikuwa gwiji wa haki za binadamu, mwelekezi wa misingi ya utawala bora, mtetezi wa uhuru wa mihimili ya dola na mpigania haki za watu wanaoonewa; Jaji Mstaafu wa Mahakama ya Rufani Tanzania, Robert Kisanga, amefariki dunia. Januari 23, mwaka…

ANGELA MERKEL AANZA KUUNDA SERIKALI

NA MTANDAO Kansela wa Ujerumani, Angela Merkel, amesema anakamilisha utaratibu wa kuangalia namna ya kuunda serikali ya mseto kwa kushirikiana na viongozi wa vyama vya Social Democratic na SPD. Amesema wanatarajia kwenda mbele katika jitihada zao za kuunda serikali na ndiyo…

MAFANIKIO YANA SABABU YOYOTE (7)

Na Padre Dkt. Faustin Kamugisha Mtazamo chanya ni sababu ya mafanikio. Mtazamo chanya unakufanya uyaone matatizo kuwa ni baraka katika sura ya balaa. Mtazamo chanya unakufanya kuhesabu siku zako kwa saa za furaha na si kwa saa za karaha. Mwenye…