JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Magazetini

Mnyukano Jiji, TARURA

DAR ES SALAAM NA DENNIS LUAMBANO Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam imeingia kwenye mvutano mkali wa kimasilahi na Wakala wa Barabara Vijijini na Mijini (TARURA) Mkoa wa Dar es Salaam kuhusu ukusanyaji wa tozo za maegesho batili (wrong…

Benki yazidisha uonevu kwa wafanyakazi

Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam Baada ya gazeti hili la uchunguzi kuchapisha taarifa za benki moja nchini zinazoeleza kuwa Afisa Mtendaji Mkuu wa benki hiyo ana dharau, ananyanyasa na kufukuza wafanyakazi hovyo bila kuheshimu sheria za kazi wiki mbili…

Iwe shuruti kuufanya ukimwi kuwa historia

Kesho ni Desemba Mosi, siku ambayo imetengwa na kufahamika kimataifa kama ‘Siku ya Ukimwi Duniani’ ambapo kwa Tanzania maadhimisho hayo huratibiwa na Tume ya Kudhibiti Ukimwi (TACAIDS). TACAIDS ilianzishwa Desemba 1, 2000 na Rais wa Tatu wa Tanzania, Benjamin Mkapa,…

MIAKA 60 YA UHURU Tubadili fikra, tusichukie biashara

Na Deodatus Balile, Nzega Wiki iliyopita nilipata fursa ya kumsikiliza Rais Samia Suluhu Hassan wakati anafunga kongamano la wafanyabiashara wa Tanzania na Uganda lililofanyika Dar es Salaam.  Rais Samia ameeleza umuhimu wa serikali kufanya kazi na wafanyabiashara kwa kushirikiana. Rais…

KISA SH 3,000… Azuiwa kufanya mtihani wa taifa

*Mzazi aja juu, ataka Mkuu wa Shule achukuliwe hatua *Mwenyewe ajitetea, asema sababu ni utoro, utovu wa nidhamu Dar es Salaam Na Aziza Nangwa Mwanafunzi wa Shule ya Sekondari Kinyamwezi iliyopo Pugu, Dar es Salaam, Sophia Said, amezuiwa kufanya mtihani…

Bila mazungumzo ya amani  Ethiopia inaelekea kubaya

Na Nizar K. Visram Ethiopia ni moja ya nchi kubwa katika Bara la Afrika, ikiwa na wakaazi takriban milioni 115 na makabila zaidi ya 80. Aprili 2018, Abiy Ahmed, aliapishwa kuwa Waziri Mkuu wa nchi hiyo na mwaka uliofuata akatunukiwa…