JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Magazetini

TPA inathamini mizigo ya wateja

Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) imefanya mambo mengi katika utoaji huduma bora kwa wateja wake. Ili kuhakikisha TPA inawahudumia wateja wake vizuri iliamua kuwa na Mkataba wa Huduma kwa Mteja, kuanzisha Kituo cha Huduma kwa Wateja na kufungua…

Ya Jacob Zuma ni ya kwetu pia

Kwenye hotuba aliyotoa ndani ya Bunge la Afrika Kusini baada ya kuanguka kwa utawala wa kibaguzi wa nchi hiyo, Mwalimu Julius Nyerere alilalamika jinsi ulimwengu unavyoiona Afrika, siyo kama bara linalojumuisha nchi zaidi ya 50, ila kama nchi moja. Ulimwengu,…

Tanzania iongeze kasi ya ukuaji wa uchumi wake – 1

Na Frank Christopher Kwa zaidi ya muongo mmoja, uchumi wa Tanzania umeweza kukua wastani wa asilimia 7 na kufanikiwa kutajwa kati ya nchi 10 zinazoshuhudia ukuaji wa kasi zaidi wa uchumi barani Afrika huku nyingine zikiwa Ethiopia, Ivory Coast, Senegal,…

MAENDELEO NI KAZI 11

Wiki iliyopita katika maandiko ya Mwalimu tuliona katika kitabu cha “Maendeleo ni Kazi”chama kimetoa maagizo ambayo yanatakiwa kutekelezwa na uongozi. Tuendelee Elimu ya watu wazima. Elimu ya watu wazima ni shughuli nyingine ambayo chama kimeshughulikia kutokana na agizo la mkutano…

Musoma Vijijini inateketea (2)

Na Dk. Felician Kilahama Sehemu ya kwanza, mwandishi wa makala hii, Dk. Felician Kilahama, alisema amekuwa akizungumza na viongozi mbalimbali katika vijiji alivyotembelea, lakini cha kushanganza hakuwahi kubahatika kukutana na viongozi wa vijiji wenye upeo mzuri na uelewa wa kutosha…