JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Magazetini

Tanzania iongeze kasi ukuaji uchumi – 2

Na Frank Christopher Katika makala iliyopita Toleo Na 335 mwandishi alieleza misingi ya ukuaji uchumi kwa taifa lolote duniani, ambayo Tanzania haiwezi kuikwepa. Leo tunakuletea sehemu ya pili ya makala hii ya kiuchumi inayodadishi mfumo, mkondo, faida na hasara zinazotokana…

Watoto wanahitaji ulinzi wetu

Na Alex kazenga. Wiki iliyopita mitandao yakijamii ilitawaliwa na video fupi ikimuonyesha  mtoto mdogo mwenye umri kati ya miaka 5 akielezea jinsi alivyo toa taarifa kituo  cha polisi na kufanikiwa kumzuia baba yake kuuza shamba la familia. Video hiyo  fupi…

Mbarali waomba zahanati, hospitali

Na Thompson Mpanji, Mbeya Kutokana na changamoto ya ukosefu wa huduma ya Afya, miundo mbinu mibovu ya barabara na madaraja katika vijiji vingi vya Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali, mkoani hapa baadhi ya wagonjwa wanaoishi mpakani wanalazimika kutembea umbali mrefu kwenda kutibiwa…

Hongera JPM kwa uamuzi huu

Wiki mbili zilizopita Mpita Njia (MN) akiwa kwenye gari linalofanya kazi ya kusafirisha abiria (Heace)  kati ya Muganza na Buselesele Wilayani Chato, Mkoani Geita,  aliwasikia abiria  watatu wakiteta juu ya uteketezaji wa nyavu na ukamataji wa wavuvi haramu unaoendelea katika…

Mlango wa viwanda Tanzania upo China

Na Deodatus Balile, Beijing   Wiki iliyopita katika safu hii nimeeleza kuwa nimeanza kuandika makala zinazohusiana na viwanda. Nimesema nimeingalia familia ya Watanzania, nikaangalia ugumu wa kazi wanazofanya na aina ya kipato wanachoweka kibindoni, basi nikapata hamu ya kuhakikisha angalau…