Category: Magazetini
Yah: Maendeleo yapatikana kwa kujifananisha na walioendelea
Nimeamka nikiwa na afya njema kabisa leo. Nimeamka nikiwa nina akisi maisha halisi na yale ya baadhi ya watu ya kuigiza. Nimeamka nikiangalia maisha halisi ya kujitegemea kwa kilimo na ufugaji na maisha halisi ya kutegemea siasa. Nimeanza kuona uhalisia…
KING MAJUTO ANAUMWA
Na Moshy Kiyungi, Tabora Imekuwa kawaida kuandika historia ya mtu pindi anapofariki. Katika makala hii namuangazia mwigizaji mkongwe wa Filamu na vichekesho Tanzania, Amri Athuman maarufu kama King Majuto. Mchekeshaji Amri Athuman ‘Mzee Majuto’ amelazwa katika Hospitali ya Muhimbili jijini Dar…
Serikali: Jengeni nyumba za kupangisha Dodoma
DODOMA NA EDITHA MAJURA Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mwasiliano, Elias Kuandikwa, ametoa wito kwa wenye uwezo wa kujenga nyumba za kupangisha, kufanya hivyo mkoani Dodoma ili kusaidiana na serikali katika kuwapatia makazi bora, wanaohamia kutokana na utekelezaji hatua ya…
Amlawiti binti, mahakamani majaliwa
DODOMA EDITHA MAJURA Mwanafunzi wa Darasa la Nne, anayesoma shule iliyopo Kata ya Nzuguni, (majina yanahifadhiwa kimaadili) amekuwa akilawitiwa na mwendesha pikipiki, maarufu kama bodaboda tangu mwishoni mwa mwaka jana hadi mwaka huu, uchunguzi wa JAMHURI umebaini. Taarifa hizi zinaibuka…
Martine Luther: Ubaguzi
1. “Naota mambo yajayo, kwamba siku moja watoto wangu wanne watakaa katika nchi ambayo hawatapambanuliwa kwa sababu ya rangi yao bali kwa sababu ya tabia na mwenendo wao” Maneno hayo yalipata kunenwa na Matin Luther King Junior, mwaka 1963. Mandela:…