JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Magazetini

Tuwe wakweli tuache uvivu tufanye kazi

  Na Angalieni Mpendu “Kuondoa uvivu, ugoigoi na woga katika nchi ni kazi ngumu. Mambo haya yanapendwa sana na watu ingawa yana madhara makubwa.” Pia ni vizuri kutambua dhana kuwa “busara kubwa kichwani haina faida kama moyoni hamna chembe ya…

Mafanikio yoyote yana sababu (14)

Na Padre Dk. Faustin Kamugisha   Kuwa na ndoto na kuzifanyia kazi ni siri ya mafanikio. Watu wanaofanya vitu vikubwa wanaota ndoto kubwa. Watu wanaofanya vitu vingi sana wanaota ndoto nyingi sana.   “Unaamini katika ndoto? Ukitaka ndoto zako ziwe…

Serikali yadhibiti ‘Wakorea Weusi’ Mbeya

Na Thompson Mpanji, Mbeya JESHI la Polisi limesema limefanikiwa kudhibiti matukio ya kiuhalifu yaliyokuwa yanadaiwa kusababishwa na kundi la vijana lililoibuka na kujiita jina la ‘Wakorea Weusi’ ambalo lilionekana kuwa tisho kwa maisha ya wananchi wa mkoa huu na mali zao….

Maendeleo ni kazi

Wiki iliyopita kwenye maandiko ya mwalimu katika kitabu cha “Maendeleo ni kazi” tuliona agizo la mwalimu la kutaka chama tawala kushughuka na mambo ambayo tayawafanya wananchi kujitawala  wenyewe katika maisha yao ya kila siku. Sehemu inayofuata ni mwendelezo wa tulipoishia…

MSD kuzindua bohari Bukoba, Songea

Na Mwandishi Wetu   Bohari ya Dawa nchini (MSD) katika kuongeza unfanisi na kufikisha huduma karibu na wananchi katika mwaka huu wa fedha imepanga kuzindua bohari za kisasa za kuhifadhia dawa katika mikoa ya Kagera na Ruvuma. Mkurugenzi Mkuu wa…