JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Magazetini

Matatizo ya kiafya wakati wa ujauzito-2

Ujauzito unachangia mabadiliko mbalimbali ya mwili tangu mwezi wa kwanza hadi mwezi wa tisa, mwanamke anapojifungua. Baadhi ya matatizo hayo yamekuwa ni ya kawaida, lakini hayatakiwi kufumbiwa macho, hivyo ni vyema kwa mjamzito kuwa karibu na upatikanaji wa  huduma za…

Maisha yanayoongozwa na malengo

’Yeye anayesubiria kuvaa viatu vya marehemu anaweza kutembea pekupeku kwa muda mrefu’’.                                                 -Methali ya kifaransa ”Ulizaliwa ili kushinda lakini ili kuwa mshindi lazima upange kushinda, ujiandae kushinda na utegemee kushinda”.                                                                     -Zig Ziglar Mwanasayansi Albert Einstein alipata kushauri, “ukifikiri…

Ndugu Rais, Akwilina akatuombee busara za Kenyatta

Ndugu Rais, Mfalme Suleiman ametajwa na vizazi vingi kwa hekima kubwa aliyokuwa nayo. Mwenyezi Mungu alimwambia amwombe chochote, naye angemtimizia. Alimjibu akisema, “Ee, Mwenyezi Mungu naomba unijalie hekima!” Aliomba hekima! Hakuomba mali wala maisha marefu au nguvu ya majeshi. Na…

MAGAZETINI LEO ALHAMISI TAREHE 22, MARCH 2018

                         

Kigogo wa CCM ataka kuboreshwa uhusiano na wapinzani

NA MICHAEL SARUNGI Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinaunga mkono jitihada zinazofanywa na taasisi, vikundi na watu binafsi wanaopambana na vitendo vinavyoashiria kuvunja amani na utulivu nchini. JAMHURI limefanya mahojiano na Katibu wa Siasa na Uhusiano wa Kimataifa wa Halmashauri Kuu…

Joseph Kabasele; Gwiji wa muziki asiyekata tama

Na Moshy Kiyungi Tabora. Pasipo kumtaja gwiji la muziki huko Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), Joseph Kabasele utakuwa hujakamilisha historia na maelezo ya muziki upaswavyo kusimulia. Nguli huyo atabaki kuwa baba na nyota kuu ilioleta maendeleo na mabadiliko kwenye…