JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Magazetini

Nani atuondolee uhasama wa CCM, Chadema?

MOROGORO Na Mwandishi Wetu “Ni nani atakayetuondolea lile jiwe?” Swali gumu walilojiuliza wanawake watatu wa kwenye Biblia ile siku ya kwanza ya juma walipokwenda kaburini wakiwa na nia ya kumpaka mafuta Yesu (mwili wa Yesu uliokuwa umezikwa kaburini) kukamilisha taratibu…

Je, Krismasi ni sikukuu ya kipagani?

MWANZA Na Mwandishi Wetu Ifikapo Desemba kila mwaka huwa kuna mabishano yanaibuka kuhusu tarehe ya Sikukuu ya Krismasi ilivyopatikana.  Mwaka 1743, Profesa Paul Jablonski, alihubiri kwamba Desemba 25 ilikuwa sikukuu ya kipagani lakini Kanisa Katoliki likaigeuza kuwa siku ya Krismasi…

Anayegawa mali za marehemu ni msimamizi wa mirathi, si mahakama

Na Bashir Yakub  Unapokwenda kufungua shauri la mirathi mahakamani haimaanishi kuwa unakwenda kuiomba mahakama kugawa mali za marehemu. Bali unakwenda kufungua mirathi ili utambulike rasmi kimamlaka na kisheria kuwa wewe ni msimamizi wa mirathi.  Mahakama haitakiwi kugawa mali za marehemu kwani mahakama…

Tunapambana na corona, tumesahau ukimwi

DAR ES SALAAM Na Mwalimu Samson Sombi Dunia imekumbwa na janga la ugonjwa wa corona (Uviko -19).Ugonjwa huu wa homa kali ya mapafu uligundulika kwa mara ya kwanza Desemba 2019 katika Jiji la Wuhan, China. Ukaanza kusambaa kwa kasi katika…

Pesa taslimu zinavyoligharimu taifa

*Sh trilioni 3 hupotea kila mwaka kupitia miamala KIBAHA Na Costantine Muganyizi Katika upande huu wa dunia ambako ni watu wachache wenye uhakika wa milo mitatu kamili kwa siku, Sh bilioni 1 ni fedha nyingi sana. Na ili ufikishe Sh…

Mwinyi aibadili Z’bar

*Ajibu maswali magumu ya waandishi, afanya uamuzi mgumu kwa ujasiri *Afafanua uchumi wa bluu, awatoa wasiwasi wakaazi nyumba za maendeleo *Akabidhi visiwa 10 kwa wawekezaji, wanaoatamia ardhi kunyang’anywa *Asema mawaziri wanaoogopa waandishi inaashiria hawajafanya lolote Na Deodatus Balile, Zanzibar Rais…