Category: Magazetini
Yah: Kumbukizi ziakisi ukweli wa marehemu.
Kama kuna wakati nimepokea arafa nyingi za wasomaji wa barua yangu basi ni wiki jana, kila mmoja na mawazo yake, wapo waliodiriki kusema ninaegemea upande fulani kwa maslahi binafsi na wapo walionielewa na kupongeza juu ya waraka wangu ule wa…
Ukataji miti hovyo unavyoathiri vyanzo vya maji Mtwara
Mashaka Mgeta, Mtwara Zaidi ya nusu ya eneo la misitu 12 inayosimamiwa na Serikali Kuu kupitia Wakala wa Huduma za Misitu (TFS) mkoani Mtwara, ipo kwenye vyanzo vya maji, ikiathiriwa na ukataji miti hovyo unaovifanya (vyanzo hivyo) kuwa katika hatari…
Trafiki Rorya, Tarime wametuonea
Jumanne, Machi 20, 2018 ni siku ambayo hatuwezi kuisahau sisi waongoza watalii watatu. Tulifanyiwa kitendo cha uonevu wa hali ya juu pamoja na kunyanyaswa wageni watalii, raia wa Marekani tuliokuwa tukiwapeleka Sirari. Tukio hili tulifanyiwa na polisi trafiki katika wilaya…
Mikutano hii iwe ya mara kwa mara
Wiki iliyopita, Rais John Magufuli alikutana na kufanya mazungumzo na wafanyabiashara wa sekta mbalimbali nchini. Masuala mengi yalizungumzwa na wafanyabiashara wenyewe, tofauti na ilivyozoeleka ambako kazi hiyo ilifanywa kwa uwakilishi. Waliopata nafasi walizungumza matatizo yanayowakabili na wakatoa mapendekezo ya kutatua…
Makazi holela kupimwa, kurasimishwa
DODOMA Editha Majura Rais Dkt. John Magufuli ameagiza wanaoishi maeneo ambayo hayajapimwa, washirikiane chini ya uongozi wa mitaa yao kupanga, kutafuta kampuni za kuwapimia makazi hayo ili kila mmoja apewe hati ya kumiliki ardhi yake. Kwa mujibu wa Waziri wa…
UKIPOTEZA MUDA, MUDA UTAKUPOTEZA ZAIDI
“Ukitaka kujua umuhimu wa mwaka mmoja muulize mwanafunzi ambaye amerudia darasa. Ukitaka kujua umuhimu wa mwezi mmoja muulize mwanamke ambaye amejifungua mtoto kabla ya mwezi mmoja. Ukitaka kujua umuhimu wa juma moja muulize mhariri wa gazeti linalotoka kila wiki. Ukitaka…