Category: Magazetini
Ujenzi wa viwanda, muhogo Na Deodatus Balile
Wiki iliyopita niliahidi kuanza kuandika masuala ya msingi katika kilimo cha muhogo. Nimepata simu nyingi kutoka kwa watu mbalimbali wakisema wanataka kulima muhogo, wengine tayari wanao muhogo na wengine wana mashamba au wengine wanatafuta mashamba ya kulima muhogo. Wengine wamepata…
UJUMBE WA PASAKA KUTOKA BARAZA LA MAASKOFU WA KANISA LA KIINJILI LA KILUTHERI TANZANIA (KKKT)
TAIFA LETU, AMANI YETU A. UTANGULIZI “Fumbua Kinywa chako kwa ajili yake aliye bubu; Uwatetee watu wote walioachwa peke yao; Fumbua kinywa chako, uhukumu kwa haki; uwapatie maskini na wahitaji haki yao” (Mithali 31: 8-9). Wapendwa wana KKKT, Watukuka, watu…
Mabula ashangaa mabilioni ‘kulala nje’
Na Munir Shemweta “Sekta ya ardhi ni nyeti kuliko sekta yoyote na iwapo itasimamiwa vizuri basi itaiingizia Serikali mapato makubwa kuliko sekta nyingine’’. Hiyo ni kauli ya Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Angelina Mabula, wakati akikagua…
Tuzungumze maendeleo ya watu
NA MICHAEL SARUNGI Nchi yetu ilipopata uhuru kutoka kwa wakoloni mwaka 1961 wananchi walipata madaraka ya kisiasa, hata hivyo sehemu kubwa ya uchumi bado ilibaki mikononi mwa wageni na baadhi ya Watanzania. Hali hiyo ilileta kero na ikawa mojawapo ya…