JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Magazetini

Hivi kweli Polepole ni mwanaharakati?

DODOMA Na Javius Byarushengo Huwa sipendi kuandika maisha ya mtu binafsi, isipokuwa kama kuna ulazima na kwa masilahi ya taifa. Kwa miezi kadhaa sasa Mbunge wa Kuteuliwa, Humphrey Polepole, kwa kutumia kipindi alichokianzisha mtandaoni cha ‘Shule ya Uongozi’, amekuwa akizungumzia…

Hali ya misitu baada ya miaka 60 ya Uhuru

Na Dk. Felician Kilahama Awali ya yote nichukue fursa hii kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa zawadi ya uhai na amani hadi kushuhudia taifa letu linaadhimisha miaka 60 tangu ‘Tanganyika’ ilipopata uhuru Desemba 9, 1961.  Kadhalika, ifikapo Aprili 26, 2022 tutafikisha miaka…

BABA GASTON Mtunzi wa ‘Kakolele’, wimbo usiochuja

TABORA Na Moshy Kiyungi Msimu wa sherehe za mwisho wa mwaka 2021 unamalizika na kama ilivyo kwa miaka mingine, zipo nyimbo kadhaa ambazo husikika zaidi nyakati hizi pekee. Mmoja miongoni mwa nyimbo hizo ni ‘Kakolele’, maarufu kama ‘Viva Krismasi’. Wimbo…

Wakulima India walivyobatilisha sheria kandamizi

Na Nizar K Visram Maandamano na mgomo wa wakulima zaidi ya 100,000 nchini India hatimaye umemalizika baada ya serikali kukubaliana na madai yao.  Wakulima hao walipiga kambi nje ya mji mkuu wa New Delhi, wakitaka serikali ibatilishe sheria tatu ambazo…

Macho, masikio kwa Polepole

Na Mwandishi Wetu Dar es Salaam Miongoni mwa makada watatu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) walioitwa kujieleza mbele ya kikao cha Halmashauri Kuu, jina la Humphrey Polepole limegonga vichwa vya watu wengi. Pamoja na kwamba Askofu Josephat Gwajima na Jerry…

Defao ‘alivyopigwa’ na wajanja

TABORA  Na Moshy Kiyungi Ukimwona kwenye runinga akinengua huwezi kuamini kwamba mwanamuziki mkongwe wa DRC, Jenerali Defao, ana zaidi ya miaka 60 sasa. Defao alizaliwa Desemba 03, 1958 Kinshasa, DRC, akiitwa Mutomona Defao Lulendo. Ni mwanamuziki mwenye kipaji cha kutunga…