Category: Magazetini
Serikali idhibiti ukuaji deni la Taifa
Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Serikali (CAG), Profesa Mussa Assad imeangazia mapungufu kadhaa ikiwamo kupanda kwa deni la Taifa. Profesa Assad amewasilisha ripoti hiyo bungeni na kuitolea ufafanuzi kwa umma, kupitia mkutano wake na waandishi wa habari uliofanyika…
Kuna uwiano wa msamiati na maadili ya mtu?
Nilisoma, hivi karibuni, makala inayotoa matokeo ya taarifa ya kitafiti juu ya uwiano uliyopo kati ya msamiati wa mtu na uwezo wake wa kumudu somo la hisabati. Matokeo yanaonyesha kuwa msamiati mzuri unaongeza uwezo wa kumudu somo la hisabati. Tafiti…
Ndugu Rais Mungu atuepushe na Tanzania mpya
Ndugu Rais mara nyingi katika maandiko yangu hunukuu maandiko yaliyoandikwa katika kitabu cha Mwalimu Mkuu wa Watu. Sababu kubwa ni kwamba sitaki wengine wafikiri ninaandika haya kwa kumlenga mtu au kwa kuilenga mamlaka yoyote. Wanaofikiri hivyo wamekosea sana! Lengo la…
Nyerere – Uongozi
“Mtanzania wa leo hawezi kununua watu bila kwanza yeye kununuliwa.” Nukuu hii ya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere iliyochukuliwa katika ukurasa wa 116 katika kitabu cha Nukuu za Kiswahili za Mwalimu Nyerere aliyezaliwa mwaka 1922. Alifariki dunia Oktoba 14,1999. Dk. Magufuli…
Madereva wa Serikali walia
Taarifa hii ni ya Chama cha Madereva wa Serikali Tanzania, inayohusu tamko la Serikali la kurejeshwa kazini kwa watumishi wa darasa la saba lililotolewa na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Utumishi na Utawala Bora), George Mkuchika, bungeni Dodoma. Chama…
MAFANIKIO YOYOTE YANA SABABU (19a)
Padre Dk Faustin Kamugisha Uvumilivu au ustahimilivu ni siri ya mafanikio. Uvumilivu ni kuanguka mara 99 na kuinuka mara ya 100. Katika msingi huu Julie Andrews alisema, “Uvumilivu ni kushindwa mara 19 na kushinda mara ya 20.” Matone yanayodondoka mwishowe…