JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Magazetini

Siku yakimfika DPP hatafuta kesi kirahisi

Jalada la kesi ya mauji ya mwanafunzi wa Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT), Akwilina Akwilini, limefungwa. Uamuzi huu umetolewa na Mkurugenzi wa Mashitaka (DPP), Biswalo Mganga. Akwilina aliuawa kwa risasi Februari 16, mwaka huu wakati polisi walipotumia nguvu kuyadhibiti…

Vipimo muhimu ambavyo wengi huvisahau – 1

Vipimo ni muhimu sana kwa maendeleo ya afya. Kupitia vipimo tunaweza kutambua mustakabali wa afya zetu na hivyo kujiweka kwenye nafasi nzuri katika kupambana na maradhi mbalimbali. Hivi karibuni takwimu kutoka Shirika la Afya Duniani (WHO) zilionesha kuwa idadi ya…

Bandari ya Mtwara fursa ya viwanda

Na Mwandishi Maalum Katika makala haya tunakuletea maelezo kuhusu Bandari ya Mtwara, ambayo ni miongoni mwa bandari kuu tatu (3) za mwambao wa Bahari ya Hindi zilizo chini ya Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA). Bandari nyingine kuu ni…