Category: Magazetini
Nchi inavyoliwa
*Wajanja watajirika huku serikali ikiambulia ‘makombo’ *Wachimbaji Mirerani wavamia Epanko *Mkuu wa Mkoa akiri udhaifu, asema wamewasiliana na mamlaka NA ANGELA KIWIA Wakati serikali ikirekebisha sheria ya madini ili kunufaika na rasilimali hizo za taifa, hali ni tofauti kabisa…
Raia maskini wakimbilie wapi?
Polisi Kanda Maalumu ya Tarime/Rorya, imethibitisha taarifa za polisi wake kumuua mtuhumiwa aliyekuwa mikononi mwao. Kijana ameuawa kwa kuchomwa kisu mgongoni. Hiyo pekee inajenga mazingira ya kutuaminisha kuwa kijana yule hakuwa tishio kiasi cha kutumika nguvu kubwa kumtoa uhai. Kuchomwa…
Tunawapongeza wafanyakazi
Wafanyakazi wa Tanzania leo wanaungana na wenzao duniani kote katika maadhimisho ya Sherehe za Wafanyakazi Duniani (Mei Mosi). Siku ya leo ni muhimu kwa sababu inasaidia kutambua mchango mkubwa na wa kipekee wa wafanyakazi katika ustawi wa jamii yote duniani….
Mafanikio yoyote yana sababu (20)
Mafanikio yoyote yana sababu (20) Padre Dk Faustin Kamugisha Kutenda au kuchukua hatua ni siri ya mafanikio. Ahadi ni wingu, kutenda ni mvua. Ni methali ya Kiarabu. “Kutenda ni ufunguo wa msingi wa mafanikio yote,” alisema Pablo Picasso (1881-1973), mwandishi wa…
Sokous Stars inavyochachafya
NA MOSHY KIYUNGI Tabora Kundi la wanamuziki wa Soukous Stars limekuwa likifanya vyema pindi wanapopata mchongo popote pale Duniani. Hawa ni wanamuzikia raia wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, huishi katika nchi tofauti duniani, kila mmoja huko aliko anayo shughuli…
Bandari ya Tanga fursa muhimu kwa uchumi wa Tanzania
Katika toleo la wiki iliyopita tuliwaletea makala iliyohusu bandari ya Mtwara kwa jinsi ilivyobeba fursa ya viwanda kwa ukanda wa kusini mwa Tanzania na taifa kwa jumla. Pia bandari ya Mtwara inatarajiwa kuwa tegemeo kwa nchi jirani hasa baada ya…