Category: Magazetini
Barua ya wazi kwa Mheshimiwa Rais
Mheshimiwa Rais Dk. John Magufuli. Mimi ambaye ni mkazi wa Mkoa wa Tabora niliporwa nyumba yangu mwaka 2006 na wenye uwezo wa kiuchumi lakini mpaka leo sijafanikiwa kuipata. Kwamba mheshimiwa rais, nilijitahidi kufuata hatua zote muhimu zikiwa ni pamoja na…
Historia ya vyama vya ukombozi yaibuliwa Windhoek
Leo ni Mei Mosi, Siku ya Wafanyakazi Duniani. Siwezi kukwepa taratibu za itifaki kwa kutoa salamu za pongezi kwa wafanyakazi wote kwa kuadhimisha siku hii muhimu kwetu sote leo. Salamu maalumu napenda kuzitoa kwa wanahistoria kwa kazi kubwa wanayofanya ya…
Baadhi ya vipimo muhimu ambavyo wengi huvisahau – 2
Vipimo ni muhimu sana kwa maendeleo ya afya zetu, kwa watu wa jinsia zote na rika zote. Kupitia vipimo tunaweza kutambua mustakabali wa afya zetu na hivyo kujiweka kwenye nafasi nzuri katika kupambana na maradhi mbalimbali. Hivi karibuni, takwimu kutoka…
Miundo ya Serikali
Tukumbuke serikali ni chombo muhimu sana katika maisha ya jamii. Na ni chombo cha hatari kwa watu wale wale inayowatumikia. Tunapozungumzia juu ya maisha na maendeleo ya watu katika jamii, ni dhahiri shahiri tutazungumzia siasa na muundo wa serikali inayotawala…
UDART wanahitaji mshindani
NA MICHAEL SARUNGI Katika siku za karibuni, pamekuwapo na usumbufu kwa abiria wanaotumia huduma inayotolewa na mabasi yaendayo haraka (UDART) kiasi cha kufikia hatua ya kutumia tiketi zinazotumiwa na wasafiri wa daladala. Ingawa wahusika wamejitahidi kutoa utetezi wao kwa kusema…