Category: Magazetini
Defao alipaswa kuwa Dar siku aliyokufa
TABORA Na Moshy Kiyungi Wiki mbili tu baada ya Gazeti la JAMHURI kuandika maisha ya mkongwe wa muziki wa Afrika na raia wa DRC, Lulendo Matumona, maarufu Le Jenerali Defao, taarifa zikasambazwa kuwa amefariki dunia. Katika toleo la gazeti hili…
Dk. Biteko ageuka mbogo
KAHAMA Na Antony Sollo Waziri wa Madini, Dk. Dotto Biteko, ameagiza kusimamishwa kazi maofisa saba wa madini wa mikoa mbalimbali kutokana na utovu wa nidhamu. Akizungumza na wafanyabiashara wa madini wa Kanda ya Ziwa mjini hapa, Dk. Biteko amesema wapo…
TAKUKURU wambambikia kesi mwandishi
*Watumia taarifa walizopewa na JAMHURI kutaka kuuzima ukweli *Kamanda wa TAKUKURU Arusha amchuuza Mhariri, amlengesha *Ashiriki ubambikiaji kesi huku mtuhumiwa akitamba kuiweka mfukoni Serikali *Naibu Mkurugenzi Mkuu bila kusikiliza asema kesi iendelee, ni jinai ARUSHA Na Mwandishi Wetu Katika hali…
CCM, mchezo wenu ni mauti yenu
Na Deodatus Balile, Ruangwa Ndugu msomaji wangu, heri ya mwaka mpya 2022. Naamini umefika salama katika mwaka huu baada ya changamoto kubwa tulizopitia mwaka 2021. Wengi walitamani kufika mwaka huu wa 2022, lakini Mungu hakuwapa nafasi hiyo. Mimi ni muumini…
Maofisa mikopo wa benki lawamani
Na Alex Kazenga Dar es Salaam Idara za mikopo katika baadhi ya benki zilizopo nchini zinatupiwa lawama kwa kuwa na wafanyakazi wasio waaminifu wanaozitumia kutapeli mali za watu. Baadhi ya wakopaji na wadhamini akiwamo Mohammed Kipanga ambaye ni mkazi wa…
Soko la ajira jinamizi linalowatesa wahitimu
Madhumuni ya elimu ni kumkomboa mhitimu kifikra ili aweze kuyamudu na kuyatawala mazingira yanayomzunguka. Elimu pia inatoa nafasi kwa mhitimu wa ngazi fulani kukabiliana na changamoto za maisha ya kila siku. Elimu wakati wa ukoloni ilitolewa kwa matabaka makubwa ambayo…