Category: Magazetini
Adhabu ya kifo tuiache ilivyo
Nimemsikia hii hivi karibuni Waziri wa Katiba na Sheria, Profesa Palamagamba Kabudi, akielezea ugumu wa kubadilisha Sheria ya Ndoa ya 1971. Alitaja mila na desturi, dini, na itikadi kama masuala yanayosababisha ugumu wa kuleta mabadiliko katika sheria hiyo. Kwa kifupi,…
Hata Mkurugenzi wa Vodacom atoke Kenya?
Kuna taarifa kwamba kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom Tanzania, inakusudia kumleta raia wa Kenya kuwa Mkurugenzi Mkuu! Sijadili kwa sababu anayekusudiwa kuletwa ni Mkenya, la hasha! Najadili hoja hii kwa sababu siamini kama Watanzania, kwa mamilioni tumemkosa mmoja…
Yah: Mhe Rais, hili ni ombwe zaidi ya ombwe
Wiki jana, nimetembelea ofisi moja ya kiongozi ambaye anasemekana anaingilia kazi za watu. Lengo langu lilikuwa ni kuonana naye tena nikiwa na hasira sana kuwasilisha malalamiko yangu ya uzembe wa viongozi wengine katika maeneo yao. Kilichonikuta kule ni huruma ya…
Waukana Utanzania
DODOMA NA MWANDISHI WETU Watanzania 60 wameukana uraia na hivyo kuwa raia wa mataifa mengine, Bunge limeambiwa. Wakati Watanzania hao wakiukana Utanzania, wageni 135 wameomba na kupewa uraia wa Tanzania katika kipindi cha Julai, 2017 hadi Machi, mwaka huu; idadi…
Bandari ya Kigoma kiungo Maziwa Makuu
Na Mwandishi Maalum Wiki iliyopita tuliwaletea makala ya jinsi Bandari ya Tanga ilivyo fursa muhimu kwa uchumi wa Tanzania na kwa nchi za Uganda na Sudani Kusini, pia bandari hiyo inaweza kuhudumia soko la DRC, Burundi na Rwanda kupitia…
Kigogo CCM anaswa uraia
*Anyimwa pasipoti kwenda ziarani China *Apanda vyeo na kushika nafasi nyeti nchini *Apewa maelekezo mazito kutimiza masharti *Baba aliingia Tanzania akiwa na miaka 3 NA WAANDISHI WETU, DODOMA Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Mara, Samwel…