Category: Magazetini
Ufisadi kwenye Miradi ya Maji
DODOMA. EDITHA MAJURA. Ufisadi kwenye Miradi ya Maji Madai ya baadhi ya watendaji wasiyo waadilifu kushirikiana na wakandarasi, kuiba fedha zinazoidhinishwa na Bunge na kutolewa na serikali kwa ajili ya kujenga miradi ya maji, ni miongoni mwa hoja zilizounganisha wabunge…
Fally Ipupa anatamba kwa muziki wa Kongo
NA MOSHY KIYUNGI Tabora Sifa za mwanamuziki Fally Ipupa zimeenea kila pembe kuliko na wapenzi wa muziki wa dansi. Yeye pamoja na mwenzake, Ferre Golla; wanatajwa kuelekea kuchukua nafasi za wanamuziki wakubwa waliomtangulia. Hawa ni wanamziki vijana wanaotamba katika anga…
Mnunuzi wa ardhi yako ameshindwa kumaliza malipo?
NA BASHIR YAKUB Umemuuzia mtu kiwanja au nyumba. Mmeandika mkataba na kuusaini tena mbele ya mwanasheria. Kwenye mkataba mmeweka vipengele vingi lakini kimojawapo kinahusu umaliziaji wa pesa ya manunuzi. Hii ni kwa sababu mnunuzi amelipa kiasi kidogo na kiasi kingine…
Mafuta yapatiwe jawabu la kudumu
Mjadala unaohusu mafuta ya kula ya mawese yanayoingizwa nchini kutoka Indonesia na Malaysia, umechusha. Kila mwaka kelele kwenye biashara hii imekuwa jambo la kawaida-mvutano ukiwa Serikali kwa upande mmoja dhidi ya wafanyabiashara kwa upande mwingine. Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA)…
Ndugu Rais wamekunywa sumu mbona hawadhuriki?
Ndugu Rais waasisi wa nchi zetu hizi tatu, Tanganyika, Kenya na Uganda waliwajengea fikra ya umoja wananchi wake. Tuliopata nafasi ya kufanyakazi katika Jumuiya ya Afrika Mashariki ile iliyovunjika tunaweza kuthibitisha kuwa wananchi sisi na hasa tuliokuwa kwenye mashirika yake…
Bomu la watu laja Afrika – 4
Wiki tatu zilizotangulia kabla ya wiki iliyopita, nilichambua kitabu kinachohusu njia mbadala za kufufua uchumi wa Afrika. Nilikisitisha wiki iliyopita tu, kutoa fursa ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani. Kitabu hiki kinaitwa “Making Africa Work”. Tafsiri isiyo…