JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Magazetini

Serikali itengeneze matajiri wapya

Na Deodatus Balile, Mtwara Leo naandika makala hii nikiwa mjini Mtwara. Nimefika Mtwara Ijumaa asubuhi. Ni mwaka wa tatu sasa tangu nimetoka Mtwara. Naikumbuka Mtwara ya mwaka 2015, taarifa za ugunduzi wa gesi zilipoenea kila kona. Nakumbuka magari makubwa niliyokuwa…

Afrika tulipokosea Urusi Moscow, Urusi

Kabla ya michuano ya Kombe la Dunia kuanza nchini Urusi mwaka 2018, kulikuwa na matumaini makubwa kuwa Afrika ingeendeleza kasi ya ukuaji katika soka kama ilivyofanya nchini Brazil mwaka 2014 wakati wawakilishi wake wawili – Nigeria na Algeria walipofikia hatua…

Moyo wa hisani unatupiga chenga Watanzania

Majuma mawili yalilopita nilishiriki hafla ya kuchangisha pesa za hisani iliyofanyika Ojai, kwenye Jimbo la California nchini Marekani. Ni hafla inayoandaliwa kila mwaka na Global Resource Alliance, shirika lisilo la kiserikali linalosimamia utekelezaji wa miradi ya kusaidia jamii mkoani Mara….

BAJETI YA 2018/2019 Tutakakofanikiwa, tutakakofeli

DAR ES SALAAM NA FRANK CHRISTOPHER   Ikiwa ni bajeti ya tatu kwa Serikali ya Awamu ya Tano, bajeti ya mwaka 2018/2019 iliwasilishwa bungeni Juni 14, mwaka huu ikilenga vipaumbele mbalimbali na hasa katika ujenzi wa msingi wa uchumi wa…

Taifa limefikaje hapa? (1)

Kutokana na ile makala yangu “Pilipili usizozila zakuwashiani?” nimepokea mrejesho wa kushangaza kutoka wasomaji wa JAMHURI. Moja ya SMS hizo ilisomeka hivi nainukuu: “Brigedia Jenerali Mstaafu Francis Mbenna, shikamoo mzee wangu na hongera kwa makala zako nzuri na zenye kuelimisha…