Category: Magazetini
JKT ni tunu, tuidumishe
Miaka 55 iliyopita, tarehe kama ya leo, yaani Julai 10, 1963 Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) lilizaliwa. Kuanzishwa kwake kulikuwa ni utekelezaji wa Azimio la Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika Aprili 19, mwaka huo chini ya Baba wa Taifa…
Rais Magufuli fungua milango zaidi
Na Deodatus Balile Wiki iliyopita Rais John Pombe Magufuli amefungua milango ya kukutana na viongozi wastaafu. Amekutana nao Ikulu na akasema utaratibu huu ataundeleza. Akasema atakutana nao mara kwa mara na katika kukutana nao hakuwabagua. Amekutana na wale walioko…
Maandiko ya Mwalimu Nyerere: Ujamaa Sehemu ya 3
Leo Tanganyika ni nchi masikini. Hali ya maisha ya umma iko chini kiasi cha kuaibisha. Lakini kama kila mtu katika nchi, mke kwa mume, atatambua hayo na kufanya kazi ukomo wa nguvu zake, kwa faida ya nchi nzima, basi Tanganyika…
Asante sana Lukuvi, wengine wakuige
Wahenga walisema: “Tenda wema nenda zako.” Wahaya na Wanyambo wanasema: “Ekigambo kilungi kigambwa.” Nao Wahehe wanasema: “Uwema kigendelo” au “Utende wema ubitage”; na kadhalika. Sasa ni miezi minne tangu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi (pichani),…