Category: Magazetini
Kwa Wazungu ni maombi, kwa Waafrika ni ushirikina!
Wazee kadhaa mkoani Mbeya walifunga barabara kwa muda ili kumwomba Mungu (siyo mungu) aepushe ajali zinazotokea mara kwa mara mkoani humo. Kama ilivyotarajiwa, tukio hilo limeibua mjadala miongoni mwetu. Mjadala huo ulijiegemeza zaidi katika maeneo makuu mawili. Mosi, wapo waliosema…
Matapeli mitandaoni ‘waliliza’ Kanisa MOROGORO
NA CLEMENT MAGEMBE Wezi wa fedha kwa njia ya mtandao wamevamia akaunti za barua pepe za mapadre wa Kanisa Katoliki na kuwaibia mamilioni ya fedha zilizotumwa kutoka kwa rafiki zao waishio nje ya nchi. Wizi huo umefanyika kati ya mwaka…
Paul Makonda aondolewa ulinzi
Makonda kitanzini *Anyang’anywa ulinzi, vimulimuli DAR ES SALAAM NA MWANDISHI WETU Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, amenyang’anywa ulinzi. Tofauti na wakuu wengine wa mikoa nchini, Makonda amekuwa na ulinzi mkali uliohusisha askari maalum. Mara…
Wachezaji wageni, changamoto kwa wazawa
NA MICHAEL SARUNGI Wachezaji wa ndani wanatakiwa kupambana na kuwa tayari kukabiliana na ongezeko la wachezaji wa kigeni wanaotarajiwa kuanzia msimu ujao wa ligi kuu ya Tanzania bara. Wakizungumza na JAMHURI siku chache baada ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania(TFF) kupitia Rais…
MAFANIKIO YOYOTE YANA SABABU (27)
Padre Dk. Faustin Kamugisha Sala na kazi ni sababu ya mafanikio. “Sali kana kwamba kila kitu kinamtegemea Mungu, na fanya kazi kana kwamba kila kitu kinakutegemea wewe,” alisema Mt. Augustino wa Hippo Afrika ya Kaskazini. Kanuni hii ya mafanikio kwa…